IELTS with British Council (Msaada tutani)

magombe junior

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
2,015
1,031
Wakuu habar za majukum
Kwa sababu mm ni mdau wa MMU nimeona niwaulize wanafamilia wenzangu ingawa inawezekana sio forum sahihi

Nategemea kufanya IELTS by january nxt year,so ningependa kufaham kwa wale ambao tayar wameshafanya hii test nipate abc's maana naambiwa around two third hua wanakosa kwa kila wanaofanya each year.

So mwenye uzoefu ata kama hakufaulu ningependa kufaham what the trick!

Asanteni
 
Unapohitaji msaada kwa members jaribu kuwa simple as possible. Jagons ama initials zitakufanya usipate majibu. Any way una elimu kiwango gani na umekuwa ukitumia lugha ya malkia kwa kiwango gani? Ukiweza kujieleza kiundani unaweza kupata ushauri.
 
Degree
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom