IEBC waonyesha ishara za kuhitimisha uchaguzi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,745
48,334
Maandalizi kabambe yenye ulinzi mkali yanaendelea, ni ishara za wazi kwamba IEBC wamefikia hatima na kufanya uamuzi wa kutanganza mshindi bila uhusika wa maeneo bunge ya Nyanza kule kwa Raila yaliyokumbwa na kila aina ya ghasia.

Katiba ipo wazi kwamba lazima uchaguzi ufanyike kwenye maeneo bunge yote, hivyo hapa naona wataalam wa sheria watalumbana mahakamani. Lakini pia hapakua na jinsi ya kufanya uchaguzi maeneo hayo maana vijana wa kule walizua fujo ambazo hazijawahi kuonekana tena.

Pia hamna jinsi polisi wangetumwa kule kuhakikisha uchaguzi umetendeka maana hiyo ingeishia kua maafa, kwani wale jamaa kule huwa wapo tayari kufa kwa ajili ya Raila, hivyo lazima kuna mtu angeburuzwa kwenda ICC.

Hii ngoma imekaa ovyo kwa kweli, kwa maana
- Mahakama kuu inaweza ikabatilisha uchaguzi, kwa kuwa hayo maeneo yalitengwa
- Pia hata rais akitangazwa, hayo maeneo yake Raila hayatatawalika kiulaini au kuingilika
- Na zaidi Raila ameahidi malumbano hadi uchaguzi ufanyike ndani ya siku 90
- Pia kuna wafuasi wa Raila wameapa kumuapisha kama rais, hivyo tukae mkao wa vurugu kamaa Wakenya, hii show ndio mwanzo wake


6.jpg


------------------------------------------------

The electoral agency Monday morning appeared ready to declare President Uhuru Kenyatta as validly elected for a second term, without the 25 constituencies that failed to vote in the Thursday fresh presidential elections.

At the national tallying centre at the Bomas of Kenya, there was increased security presence with every body entering the premises subjected to intense security searches.

While security at the tallying centre has been top-notch since Thursday when Kenyans went to the polls for a fresh election after the Supreme annulled the August 8 election, Monday morning, there was increased presence of police officers and additional barriers, all signs of President Kenyatta's imminent arrival.

ANTI-ELECTION

In the polls boycotted by opposition leader Raila Odinga protesting lack of electoral reforms, voting did not take place in 25 constituencies in Homa Bay, Siaya, Migori and Kisumu due to violence in the opposition strongholds.

Inside the Bomas auditorium, the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) was dressing the chairs in the area reserved for presidential candidates, their staff, and election observers.

IEBC appears set to announce poll results
 
Raila atafinywa kwa uhaini.
Alijitoa mwenyewe, angekomaa then awe na uhalali wa kupinga mahakamani.
 
Back
Top Bottom