Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

Hiyo radio yenyewe n ya makelele unategemea
Nn na unatoa wapi mda WA kuskiliza
Huo utopolo wakat XXL ipo ??
Nilikuwa tu natembelea Station mbalimbali nilipofika kwa hawa majuha nikasikia wanabishana nikaona nipige kituo hapo niwasikilize wanabishana nini
 
Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha Station. Dida ni mmoja wa watangazaji wenye kelele sana
Kama hujui hao ndio wanawasikilizaji wengi sana na hapo hela ndio zinaingia.

Mfano mzuri ni uzi wa rikiboy wa kula kimasihara unawachangiaji wengi ukilinganisha na nyuzi za Mohamed Said ambazo zinaelimisha ila hazina wachangiaji wengi.
 
Back
Top Bottom