Ushauri: Idris Sultan biashara itakutoa achana na uchekeshaji

mwanahabari93

JF-Expert Member
May 20, 2015
263
169
ccb03c7c446e51475b30efc750783c25.jpg

Idrisa sultan nikijana mmoja mjanja mjanja sana tukumbuke aliwahi kuwa mshindi wa mashindano makubwa ya Big brother Afrika na akajinyakulia kitita kikubwa cha pesa huyu jamaa ni mtu maarufu sana hapa nchini ....ulioletwa na ushindi wake wa BBA na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Tanzania sweetheart na mzungumzia mwanadada wema sepetu...Ila kilichofanya niandike Uzi huu ni Kipindi Cha Idris kinachorushwa na Clouds Tv kinachojulikana Kwa jina la sio habari...kikiwa na maudhui na dhumuni la kuchekesha ....ila mimi sion kama kuna kichekesho naona Idris anatumia nguvu nyingi kuchekesha sioni kama idris ni mchekeshaji mzuri....kwangu nakataa kabisa ...nampa ushauri aendelee na biashara yake ya Viatu aachane na Tasnia hyo ....nionavyo mimi au kuna mtu anae mkubali ....jamani...tusaidiane kumfikishia ujumbe..
 
Jamaa nikweli hawezi kuchekesha. Anafosi tu. Alipoenda Kenya alikaa jukwaani mpaka anashula watu wamenuna, imagine uingie alipotoka Erick Omundi au Man Kush na kiingereza chako cha kayumba. Hata wabongo wenzake hatuchekeshi itakua wakenya! Kiukweli haui na watu wake wa karibu hawamwambii ukweli.
kwa hiyo unatakaje kwa mfano pambana na hali yako ww anachekesha PR sembuse idriss
 
Kwa hiyo usipocheka wewe unadhani na wengine hawacheki??Inawezekana una stress zako hata Mr Bean hawezi kukuchekesha
Mtoa mada yupo sahihi. Idriss isn't that funny, analazimisha mno fani. Ila anaweza kuwa actor mzuri sana sio comedian. Mimi ni mmojawapo ambaye sijawahi ona kichekeshacho kwa Idriss. Ila nakiri Idris is a very good speaker. Akiwa mbunifu kuna kitu kikubwa mno anaweza kukifanya (in a serious stuff) na akaiwakilisha vyema nchi, ukizingatia kijana kizungu mdomoni kipo kuliko kupoteza muda kwa comedy. Anayekukosoa ni mzuri kuliko anayekupa sifa za uongo. Hata Diamomd alianza kuchana jamani, waliompenda wakamshauri aimbe.
 
Umeeleweka vizuri kabisa na upo sahihi sana
 
Back
Top Bottom