Idris Sultan: Milioni mia sita ziliisha nikashindwa mpaka kulipa kodi nikarudi kwa mamdogo Kimara

Kwahiyo ananyumba za kupangisha,hapohapo nae kapanga?apartment 3 chukulia anapata 2m kodi ya mwezi kwa nyumba zote.
600m inatakiwa kila siku upate 2m au zaidi kama faida kwenye mtaji huo
Huo ni uamuzi wake ye mwenyewe kupanga kulingana na mipango yake. Ila nnachojua anavomiliki ndo hivyo nilivosema. Na nna uhakika na hilo.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Every story has two sides...It will be fair to hear the other(from Mike) side of the story!!

That said, Either Idrisa is so dumb or witchcraft is real!
 
Huyu muongo tyuuuh wala hana ukweli, pesa zake kafanyia mambo ya msingi sana tu,

Minachojua ana nyumba kigamboni za kupangisha zipo 3, tena 1 amepanga mtu nnae mfahamu kabisaa,
Kapanga nyumba nzma lak 6 per month.

Pia ana dala dala zinazopiga route hapa jijini Dar.

Kawadanganya wabongo maan ndo anajua nn wanapenda kusikia.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hamna kitu kama hiko ni fix za kitaani tu kama kipindi cha Kikwete ,Nyumba kali zote zilikuwa za Riz1.

Huyo Idris kachezea pesa , alipata pesa kwenye umri mdogo na bado alikuwa na wenge la kushika pesa nyingi ,hivyo akazitapakanya vizuri tu,mambo ya kupoteza kwenye madini ni uongo mtupu.

Nyumba gani ya kupanga laki6? Hivi unajua nyumba ya kupanga laki 6 kwa mwezi cost yake ya kuinjenga? Halafu unasema anazo tatu??? r u serious? Nyumba ya kupanga kwa laki 6 cost zake moja ni zaidi ya uwekezaji wa 300m.
 
ni hasira, chuki, roho mbaya au nini

mana kama ameshainuka na amejifunza kutokana na makosa ..then u stupidity wake unatokea wapi.

Idris ameshawasema hapo mkuu watu wa hivyo. Watu hao huwa wapo sana Tz. Huwezi amini,kuna mtu hata hapo anaona wivu.
 
Hamna kitu kama hiko ni fix za kitaani tu kama kipindi cha Kikwete ,Nyumba kali zote zilikuwa za Riz1.

Huyo Idris kachezea pesa , alipata pesa kwenye umri mdogo na bado alikuwa na wenge la kushika pesa nyingi ,hivyo akazitapakanya vizuri tu,mambo ya kupoteza kwenye madini ni uongo mtupu.

Nyumba gani ya kupanga laki6? Hivi unajua nyumba ya kupanga laki 6 kwa mwezi cost yake ya kuinjenga? Halafu unasema anazo tatu??? r u serious? Nyumba ya kupanga kwa laki 6 cost zake moja ni zaidi ya uwekezaji wa 300m.
Mkuu, mie siongei ili mradi au nidanganye iweje? Hiyo nyumba 1 aliyepanga nnaemfaham, nshaishuhudia na n kali sanaaah,
Km kudangany labda huyu mpangaji kanipiga fix kuwa lak 6 kumbe not,
Na yeye ndo kanambia kuwa anazo zingne 2.

Kuhusu dala dala nilisikia kwa mtu mwingne kabisaa tena nae anahusika na mambo ya social media plus kuwa karibu na huyo idrisa, nae pia akanambia kuwa idrisa ana nyumba kigamboni.
Hapo ndo nikaamini kuwa kweli.

Sasa sijui wee unanipinga kwa kipi, ila any way tusibishane maisha n yake, vyovyote vile ilivyo ni juu yake.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kama kawaida yetu, sijui ni wivu au uchawi. Hapa watu wengi naona walitaka kusikia jamaa alifulia na sasa analawitiwa hovyo. Hapo ndo wengi wangefurahi ili wamponde mpaka afe. Sasa ameonesha hajachoka, wachawi wanaishia vijembe na kejeli.

Nyoko kwa wote wasio na mtazamo chanya kwa wenzao.
 
Kama hujawai kuhandle mil 5 ukaizungusha hyohela ikazaa pesa, ghafla ukapewa mil 100 kimahesabu ya biashara lazima hyo hela utapoteza tuu....,,,, ukiwa mzuri sana utapoteza 3/4 to 1/2 of it. Lakini wengi wao huzipoteza kabisa nakuishia kujutia.... jiulize swali moja leo wewe ukienda benk flan hata flow ya pesa yako ni ndogo nahuna historia ya kukopa kwao ghafla unataka mkopo wa m100 chakwanza watakuuliza unanyumba yenye hati? Maanake yake nini kimahesabu ya kifedha kunauwezekano mkubwa ukaipoteza hyo fedha, lakini kuna mpaka wafanya biashara wanaombwa na mabenk wakope na hawaweki their physical asset biashara zao tuu ndio dhamana ya benk, hvyo basi iddris anapoint nzuri sana hapo kwamtu ambaye hajawai kuzungusha pesa utambeza ilakwanaojua mchezo wa pesa wanamuelewa sana
 
Mkuu, mie siongei ili mradi au nidanganye iweje? Hiyo nyumba 1 aliyepanga nnaemfaham, nshaishuhudia na n kali sanaaah,
Km kudangany labda huyu mpangaji kanipiga fix kuwa lak 6 kumbe not,
Na yeye ndo kanambia kuwa anazo zingne 2.

Kuhusu dala dala nilisikia kwa mtu mwingne kabisaa tena nae anahusika na mambo ya social media plus kuwa karibu na huyo idrisa, nae pia akanambia kuwa idrisa ana nyumba kigamboni.
Hapo ndo nikaamini kuwa kweli.

Sasa sijui wee unanipinga kwa kipi, ila any way tusibishane maisha n yake, vyovyote vile ilivyo ni juu yake.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ni story tu za vijiweni , huyo mshikaji wako kapangwa tu na madali kwamba hii nyumba ni ya idris ili aingizwe king kupanga....Ni technics tu za madalali ,hata ukiwa unatafuta kiwanja utapelekwa watakwambia kiwanja cha mbele ni cha sirro ,kingine cha mbele ni cha murot , utaambiwa kiwanja pembeni ni cha kova ili mradi tu ununue tu.

Madali ni waongo sana kuna kiwanja jamaa yangu alinunua dalali akawa anatangaza kiwanja cha pembeni cha Tenga wa TFF ili mradi amjaze tu jamaa yangu.
 
Back
Top Bottom