Idris Sultan: Milioni mia sita ziliisha nikashindwa mpaka kulipa kodi nikarudi kwa mamdogo Kimara

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
7,164
2,000
Kwahiyo ananyumba za kupangisha,hapohapo nae kapanga?apartment 3 chukulia anapata 2m kodi ya mwezi kwa nyumba zote.
600m inatakiwa kila siku upate 2m au zaidi kama faida kwenye mtaji huo
Huo ni uamuzi wake ye mwenyewe kupanga kulingana na mipango yake. Ila nnachojua anavomiliki ndo hivyo nilivosema. Na nna uhakika na hilo.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,527
2,000
Every story has two sides...It will be fair to hear the other(from Mike) side of the story!!

That said, Either Idrisa is so dumb or witchcraft is real!
 
Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,258
2,000
Huyu muongo tyuuuh wala hana ukweli, pesa zake kafanyia mambo ya msingi sana tu,

Minachojua ana nyumba kigamboni za kupangisha zipo 3, tena 1 amepanga mtu nnae mfahamu kabisaa,
Kapanga nyumba nzma lak 6 per month.

Pia ana dala dala zinazopiga route hapa jijini Dar.

Kawadanganya wabongo maan ndo anajua nn wanapenda kusikia.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hamna kitu kama hiko ni fix za kitaani tu kama kipindi cha Kikwete ,Nyumba kali zote zilikuwa za Riz1.

Huyo Idris kachezea pesa , alipata pesa kwenye umri mdogo na bado alikuwa na wenge la kushika pesa nyingi ,hivyo akazitapakanya vizuri tu,mambo ya kupoteza kwenye madini ni uongo mtupu.

Nyumba gani ya kupanga laki6? Hivi unajua nyumba ya kupanga laki 6 kwa mwezi cost yake ya kuinjenga? Halafu unasema anazo tatu??? r u serious? Nyumba ya kupanga kwa laki 6 cost zake moja ni zaidi ya uwekezaji wa 300m.
 
Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
891
1,000
ni hasira, chuki, roho mbaya au nini

mana kama ameshainuka na amejifunza kutokana na makosa ..then u stupidity wake unatokea wapi.
Idris ameshawasema hapo mkuu watu wa hivyo. Watu hao huwa wapo sana Tz. Huwezi amini,kuna mtu hata hapo anaona wivu.
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
7,164
2,000
Hamna kitu kama hiko ni fix za kitaani tu kama kipindi cha Kikwete ,Nyumba kali zote zilikuwa za Riz1.

Huyo Idris kachezea pesa , alipata pesa kwenye umri mdogo na bado alikuwa na wenge la kushika pesa nyingi ,hivyo akazitapakanya vizuri tu,mambo ya kupoteza kwenye madini ni uongo mtupu.

Nyumba gani ya kupanga laki6? Hivi unajua nyumba ya kupanga laki 6 kwa mwezi cost yake ya kuinjenga? Halafu unasema anazo tatu??? r u serious? Nyumba ya kupanga kwa laki 6 cost zake moja ni zaidi ya uwekezaji wa 300m.
Mkuu, mie siongei ili mradi au nidanganye iweje? Hiyo nyumba 1 aliyepanga nnaemfaham, nshaishuhudia na n kali sanaaah,
Km kudangany labda huyu mpangaji kanipiga fix kuwa lak 6 kumbe not,
Na yeye ndo kanambia kuwa anazo zingne 2.

Kuhusu dala dala nilisikia kwa mtu mwingne kabisaa tena nae anahusika na mambo ya social media plus kuwa karibu na huyo idrisa, nae pia akanambia kuwa idrisa ana nyumba kigamboni.
Hapo ndo nikaamini kuwa kweli.

Sasa sijui wee unanipinga kwa kipi, ila any way tusibishane maisha n yake, vyovyote vile ilivyo ni juu yake.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom