Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.

Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.

Endelea kufuatilia....

UPDATES
Mchekeshaji Idris amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na mwenzake Innocent Maiga na kusomewa mashtaka yao

Katika shtaka la kwaza, Idris pekee anatuhumiwa kutumia laini yenye namba 0753 617621 ambayo haijasajiliwa kwa jina lake bali kwa jina la Innocent Maiga

Katika shtaka la pili, Innocent pekee anatuhumiwa kushindwa kuripoti ubadili wa umiliki wa laini hiyo baada ya Idris kuanza kuitumia


UPDATE
Idris amepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutumiza masharti yakuwa na wadhamini wawili na bond ya TZS 15,000,000/-

Kesi itatajwa tena Juni 09, 2020

Mambo ya kubambikia watu vitu vya hovyo vinatia aibu sana, sioni hata kosa la kumnyima mtu uhuru wake zaidi ya wiki moja
 
Bullshit!

Kwa hiyo mtu hawezi tumia simu ya mtu mwingine?

Hawa watu waache hadaa. Wangesema tu wamemkamata na kumsweka ndani kwa sababu alionekana anaicheka picha ya Magufuli.

Hakuna kesi hapo. Kilichopo ni ubabe tu.

Picha ya Magufuli inachekesha na kucheka au kuicheka si kosa.

Ndiyo, hata angekuwa ni mzazi wangu ningemcheka.

Kama mimi mwenyewe huwa najicheka nikiangalia picha zangu za zamani, kwa nini nisiweze kuwacheka na wengine?

Bullshit..
 
Mbona wanatuchanganya Idrissamekamatwa kwakuchekapicha au kutumia laini isiyokua na jina lake?
 
Ila huyu mimi hata sionagi anachochekesha. Kwann asifanye kitu ambacho ana kipaji nacho. Ila kuchekesha hapana
 
Polisi wamebadili gia angani, kosa limekuwa ‘kutumia laini’ isiyo ya jina lake... mbona hii itakula wengi tu mtaani.
 
Kama kucheka ni dhihaka, anyooshe kidole mtu yule ambaye hakucheka picha ile... binafsi kila nikiiona nacheka nusura kuanguka chini.
 
Sultani Alifanya Dhihaka.
Kwanza tambueni Raisi JP Magufuli, ni Raisi halari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo anastahili kuheshimiwa na kila raia wa nchi hii, bila kujali ulimpigia kura au la.

Idrisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.

Je, kama msanii ile video ililenga kufanya nini ktk jamii yetu.

Idrisa anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika Mnapenda Sana Mambo ya Kifalme na Uchief.. Mnapenda Kuabudiwa Kwani Kucheka Picha kunq Shida Gani...

Hiyo Picha Angempa Mke wake au watoto wasingeicheka?
 
Ndio maana ni muhimu sana kuzizoea pesa kabla hujazikamata kisawasawa ili siku ukija kuzipata hautachanganyikiwa.
Kuna jamaa mmoja alikuwa amepanga jirani na nyumbani kwetu ambaye shughuli zake alikuwa ni mchimbaji migodini ni kama wale wanawaita wana apollo kwa miaka mingi sana lakini alikuwa anapata senti ndogondogo za kujikimu tu.
Sasa ikafika siku Mungu akamuona akabahatika kupata dhahabu kubwa akatafuta mteja akaliuza kwa thamani ya milioni 450.
Alivyopata hizo hela akili ikabadilika jamaa akawa hataki kuongea na majirani wa uswahilini ambao ndio walikuwa rafiki zake hapo awali.
Akawa vikao vyake ni kwenye baa kubwa kubwa na matajiri,wakaanza kumpa mipango feki ya biashara na kwa vile jamaa sio mzoefu wa mambo ya kibiashara akawa anawakubalia anawekeza pesa zake.
Mwisho wa siku jamaa katapeliwa hela karibu zote.
Alichoambulia ni kununua nyumba uswahilini kama ya milioni 30 na kigari cha milioni 10 ambacho sasa hivi amechoka hata kugharamia mafuta hawezi,elfu 10 anaitafuta kwa tochi.
Waliozizea kwao kawaida kuona milion 100 kwenye account. Sasa mwenzangu na mimi tigopesa inasoma sh. 50 huku una madeni kila mahali mara unaambiwa umeshinda biko milion 100 unafikiri cha kwanza kitakua ni investment?? Hapana cha kwanza ni kufurahisha nafsi na mambo yote uliyomiss wakat ukiwa apeche alolo. Ila kabla hujaipata mikakati itakua mingi pata sasa
 
Kilaza mmoja alipiga milioni 500 big brother south Africa malaya wa Dar wamezikomba zote amebaki anaishi kwa kuombaomba mtaani
Kwenye maisha yako nin kinaongezeka Kama akiwa anaishi kwa kuomba omba, watoto wa kiume hawanaga hizi tabia
 
Back
Top Bottom