Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 492
- 180
habari wana jf hivi kuna software gani ktk ubuntu ina fanana na( IDM ) internet download manager ambayo ina detect kama IDM ?
Tembelea hiyo link utapata na namna ya kuzi install
List of Download Managers Available in Ubuntu Linux*|*Ubuntu Geek