Idea for jf

equator

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
209
123
Hey mambo nimekuja hapa kudiscusss swala moja la idea from nowhere kwamba kumekuwa na wimbi kwamba watu wana double accounts!
So mimi nlichokua nafikiria kwamba kungekuwa na "MACHINE LEARNING" ambayo ingekua ina zitaja accounts ambazo zimejirudia japokuwa accounts huku ni SIRI bado hiyo Ai/Machine learning ingeweza kutambua acc ya mtu kulingana na tabia za hio account!
Najua kuna watu wanajua kunzidi so naomba labda mnisaidie kwamba hiyo solution inakuaje??????
 
AI, ML accounts?
So u mean kuna watu wana more than one account in JF
 
Hey mambo nimekuja hapa kudiscusss swala moja la idea from nowhere kwamba kumekuwa na wimbi kwamba watu wana double accounts!
So mimi nlichokua nafikiria kwamba kungekuwa na "MACHINE LEARNING" ambayo ingekua ina zitaja accounts ambazo zimejirudia japokuwa accounts huku ni SIRI bado hiyo Ai/Machine learning ingeweza kutambua acc ya mtu kulingana na tabia za hio account!
Najua kuna watu wanajua kunzidi so naomba labda mnisaidie kwamba hiyo solution inakuaje??????
Mkuu watu sio kwamba wanapenda kudabo account bali ni app yenyewe ya jamiiforum ilivo yaan hairuhusu mtu kubadili jina yaan hakuna option ya kuchange name ndo mana watu wakitaka kutumia jna tofauti na lililozoeleka humu bas wanafngua account mpya ko unakuta mtu ana account zaid ya mbili
 
Kama ip ni Dynamic ngumu kujua!
sizani kwamba ip unayopewa ni ile ile mayb Mac address
 
Mkuu watu sio kwamba wanapenda kudabo account bali ni app yenyewe ya jamiiforum ilivo yaan hairuhusu mtu kubadili jina yaan hakuna option ya kuchange name ndo mana watu wakitaka kutumia jna tofauti na lililozoeleka humu bas wanafngua account mpya ko unakuta mtu ana account zaid ya mbili
Kubadili jina ni rahisi tu, unamtumia message admin yoyote anakubadilishia. Mimi nimebadilisha mara tatu
 
Kazi rahisi tuu. Ni kucheck Accounts zipi zina login kwa IP address moja
Kwa njia hii unaweza ukakuta unafuta account za watu wengi sana ambazo hazijajirudia, chukua mfano wale wanaotumia wakiwa internet cafe ua pc za makazini ambazo watu wengi wanatumia kufungua JF wakati tofauti tofauti
 
Kubadili jina ni rahisi tu, unamtumia message admin yoyote anakubadilishia. Mimi nimebadilisha mara tatu
Tatizo la maadmin wengi wa humu wamelala, labda wawe wamebadilika, kuna wakati nataka kuwa verified nilisumbuka sana na sikuweza kupata msaada wowote kutoka kwa admins, ila namshukuru Melo alikuja kunibadilishia baada ya kumtumia malalamiko
 
Hii ni changamoto unaweza kwenda Mbali zaid kwa kucheck MAC adress ya kifaa cha network kinachotumika
ISP especial hawa makampuni ya simu IP zao ni dynamic,huoni unaweza kuunganisha account zisizohusika?
 
Ukifanya Upembuzi utajua tuu. Hata muda ambao account zinazotiliwa mashaka huwa zina login parallel
Kwa njia hii unaweza ukakuta unafuta account za watu wengi sana ambazo hazijajirudia, chukua mfano wale wanaotumia wakiwa internet cafe ua pc za makazini ambazo watu wengi wanatumia kufungua JF wakati tofauti tofauti
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom