ICT OFFICER
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 235
- 299
Katika interviews za utumishi huwa wanapendelea sana IDE gana hasa kwenye practical??
Samahani!! Nini maana IDE??Katika interviews za utumishi huwa wanapendelea sana IDE gana hasa kwenye practical??
Kwenye post za kazi nging hua naona Visual basic 6
Kuna moja nilienda wakatumia java
java ni programming language sio IDEKuna moja nilienda wakatumia java
Kweli, ila sometimes no vyema mtu ungejua mazingiraNadhani IDE haiwezi kukusaidia sana kufaulu interview kwani karibu zote zinafanana unachotakiwa kuwa nacho ni stadi ya kuhusianisha ili ukikutana na kitu kipya kwako iwe rahisi kutumia maarifa yako ya nyuma kukitumia
Nadhani kama unatumia notepad++ huwezi kushindwa kutumia sublime text au netbeans
Nataman sana sie kama wana I.T tungekua na group hata la kupeana ujuzi aisew maana Fani hii hua inachange kila mara
Embu anzisha nikuuenge mkono
[/i]Integrated Development Environment [/i]Samahani!! Nini maana IDE??