Iddi Zungu awataka Wabunge wasimsumbue Tundu Lissu, wamuache atoe mchango wake

Hakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.

Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.

Halafu mnajifanya wajuaji.

Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Punguani wahed.
Kwani ukitumia lugha ya staha,utapungukiwa nini ndugu yangu,jaribu kua na staha pale unapoona mwenzako amechangia kwa hoja usizozipenda.
 
Hakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.

Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.

Halafu mnajifanya wajuaji.

Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Punguani wahed.
kwani huu siyo mwezi mtukufu? matusi ya nini sasa.Mbona unajishindisha njaa bure.
 
Mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama tawala , na wakawa wanashinikiza Lissu aache kuchangia hoja lakini , Mwenyekiti Zungu alimtetea sana Lissu na akimtaka achangie hoja na asizongwe zongwe.
 
Mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama tawala , na wakawa wanashinikiza Lissu aache kuchangia hoja lakini , Mwenyekiti Zungu alimtetea sana Lissu na akimtaka achangie hoja na asizongwe zongwe.
 
Hakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.

Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.

Halafu mnajifanya wajuaji.

Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Punguani wahed.
Mama watotot FaizaFoxy punguza ukali wa maneno mama, mwezi wa toba huu!! Au huko kanisani mnafundishwa nini?
 
Hakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.

Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.

Halafu mnajifanya wajuaji.

Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Punguani wahed.
Hivi umefunga?
 
Mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama tawala , na wakawa wanashinikiza Lissu aache kuchangia hoja lakini , Mwenyekiti Zungu alimtetea sana Lissu na akimtaka achangie hoja na asizongwe zongwe.
ni mussa azan zungu sio iddy,,...muuni wetu wa ilala
 
Back
Top Bottom