Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iddi simba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Edward Teller, Aug 4, 2011.

 1. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,774
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  JAMANI HUYU BWANA IDDI SIMBA NAOMBENI MWENYE KUJUA CV YAKE ANISADIE-
  NIMESHAMSIKIA AKITAJWA KWENYE MCHAKATO TOFAUTI TOFAUTI
  NAJUA ALISHWAI KUWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA-THEN SIJAPATA KUMSIKIA KATIKA ULINGO WA SIASA TENA-
  ILA NAONA KWA SASA JINA LAKE NIMELISIKIA LIKIHUSISHWA NA NICO(ambapo hapa watu wameliwa)PRIDE,UDA NA NYINGINEZO-
  NAAMINI ANAWEZA KUWA AMONGST TYCOON WA HII NCHI
   
Loading...