Iddi Simba ndiye aliyeua Klabu ya Saigon

JerrySlaa(1).jpg

UDA nako ana husika by association

duh,lazima nikubali hiki kijiwe kiboko! Sijui kama kuna kitu inaweza fanana na JF duniani! Nothing is secret here! Endelea kudadavua mkuu SlidingRoof!

Kuna kafsha ya sukari Idd simba aliusika sina kumbukumbu vizuri.

ndio fisadi hili la KIRUNDI ndilo lililohusika na kutoa misamaha ya sukari toka nje ya nchi alipokuwa waziri

the man is a hustler lakini hili la kutuingilia kwenye mambo yetu ndio ananiudhi na sie kama ujuavyo hatupendi kuingiliwa!!

Iddi Simba ni kiboko huwa mjanja anatumia gia ya uzawa kutuingiza mjini watz. Kama sikosei yeye na akina Mengi miaka kama saba nyuma walituhamasisha wazawa kujiunga na kampuni ya NICO ambayo haiujulikani imeishia wapi. Leo wapo kimya kuhusu NICO

Mkuu hiyo ishu ya NICOL au NICO ltd ilikuwa kwenye habari wiki chache zilizopita kwamba hisa zake zimefutwa Dar es Salaam Stock Exchange. Wale wananchi waliowekeza naona ndo wameshaliwa. Ila mi nashangaa bado wahusika wanapeta tu! HIi kesi ni kubwa sana, ukizingatia walitumia sana neno uzawa na uzalendo! Kumbe ni mafisadi wakubwa! Na ilihusisha wafanyabiasahra wakubwa nchini si Idd Simba tu... Felix Mosha na wenzake wamo pia!

Iddi Simba ni kiboko huwa mjanja anatumia gia ya uzawa kutuingiza mjini watz. Kama sikosei yeye na akina Mengi miaka kama saba nyuma walituhamasisha wazawa kujiunga na kampuni ya NICO ambayo haiujulikani imeishia wapi. Leo wapo kimya kuhusu NICO

Wakuu nimewapata. Baati mbaya watz tu wasahalifu au hatufuatilii. Idd simba historia yake na mikono yake imejaa damu. Yule ni mtu wa deal. Ni vema ukawekwa mtandao wa idd simba humu jf ili walio wengi waufahamu. Kwenye epa hakutajwa lakini ukifuatilia sana maranda alipataje pande lile ndo utajua idd simba yu nani? Naomba wenye kuujua mtandao wa idd simba ebu unanikeni jf. Asante sana

niliwahi kumuuliza mtu mmoja zamaani kuwa hiki kijiwe cha Saigon kina faida gani kwa taifa masikini kama hili?

Akanijibu na kuniambia ''Saigon ni watoto wa mjini, yaani huwezi kukubalika bila wao kukukubali. Kikwete mwenyewe ni mdau pale Saigon''.

Sasa kila nikitamani kumkumbusha maneno yake hayo na kumuorodheshea mapungufu ya Kikwete basi naishia kati coz nahisi ntamnasa makofi tu.

Hapo Saigon hapana rekodi yoyote ya kuleta maendeleo ya nchi hii wala mkoa wa Dar Es Salaam wala wilaya ya Ilala.

Ni Genge la wale wazee wa kiswahili wanaoweza kujikombakomba kwa watu fulani ili wapate mkate wao wa kila Siku.

Hii thread mimi ningeiona ni yenye madini endapo tu Saigon ingekuwa ni NGO's au Saccos au chama chochote chenye usajili wa kudumu na chenye leseni na TIN namba.

Mtoa mada hajaeleza Simba ameiua kivipi hiyo Saigon bali kajaribu kupita juu juu na kisha kusubiri watu wengine waje waorodheshe maovu ya Simba.

Sasa kijiwe cha Saigon hakijafa kama alivyokurupuka huyo mtoa Mada.
Bali ishu ni kuwa mahali yalipokuwa makutano ya wazee hao wa Saigon kwa siku za karibuni mahali hapo hapapo tena kutokana na Nyumba ya karibu na hapo kuvunjwa na kisha kujengwa Ghorofa ambalo kuna maduka yamezunguka maeneo hayo yoote hivyo nafasi ya wazee wa Saigon kukaa na kuzungumza mawili matatu haipo kama awali bali kwa sasa nafasi ni finyu.

Kingine kama unavyofahamu maswala ya vijiwe na maisha ya mwanadamu ambayo ni ya kutangatanga.

Kuna baadhi ya wazee wamehama maeneo hayo. Hivyo kupelekea baraza kupwaya na sasa wapo madereva wa TAXI tu wanaocheza draft tu.

Huo ndio uhalisia wa Saigon.
Msikurupuke kuandika ushuzi ili mradi tu mtu fulani anachukiwa basi mumzidishie mzigo wa Chuki.

Naomba kuwasilisha hoja.

the issue hapa ni uadilifu wa Simba

sasa kama simba aliweza kuia klabu kama saigon watu wanauliza atashindwa vipi mkua UDA?

usisahau ya NICOL kati yake na MENGI

angekuwa mwadili wala hakuna ambaye angemchukia lakini hana uadilifu huo unaotaka kumpa

Rejea posti yangu niliyoiandika hapo juu.
Sijamtetea Simba na wala sifurahii ufisadi wake na mimi sio kibaraka wake.

Nachojaribu kueleza ni swala zima la kuandika thread na kuipachika kichwa cha habari kama hicho as if hicho kijiwe cha Saigon ni kikundi muhimu sana kwa watanzania.
Pia nimejaribu kumpasha huyo mwenzio kuwa Saigon haijafa ila kilichotokea ni kama niliyomueleza hapo kwenye post yangu ya awali.

Ni bora angeandika Iddy Simba kumbe ndie aliyesimamia kuiua Sukita, au Urafiki textile au viwanda na makampuni mengine ambayo yana manufaa kwa Taifa.

Sasa ye kaenda kuandika habari za kijiwe cha wanywa kahawa na wacheza drafti...hii kweli imekuingia akilini?
Au uliamua kuandika tu kutokana na kukosa usingizi au kusubiri daku?

the issue hapa ni uadilifu wa Simba

sasa kama simba aliweza kuia klabu kama saigon watu wanauliza atashindwa vipi mkua UDA?

usisahau ya NICOL kati yake na MENGI

Hapo ndipo ninapopingana na nyinyi.
klabu ya Saigon haijafa, msikurupuke.

Kilichotokea ndio hicho nilichowaambia hapo juu.

Na kama mnaushahidi kuwa Simba kaiua Saigon basi uwekeni mezani ushahidi huo.
Na si kukurupuka tu na kuandika vitu msivyokuwa na ushahidi wala uhakika navyo.

kaMa hamna ushahidi basi pigeni kimya au nendeni Facebook mnakoandikaga ''am so tied'' then lundo wa oyaoya wenzenu wanatuma comments na ku like

Rejea posti yangu niliyoiandika hapo juu.
Sijamtetea Simba na wala sifurahii ufisadi wake na mimi sio kibaraka wake.

Nachojaribu kueleza ni swala zima la kuandika thread na kuipachika kichwa cha habari kama hicho as if hicho kijiwe cha Saigon ni kikundi muhimu sana kwa watanzania.
Pia nimejaribu kumpasha huyo mwenzio kuwa Saigon haijafa ila kilichotokea ni kama niliyomueleza hapo kwenye post yangu ya awali.

Ni bora angeandika Iddy Simba kumbe ndie aliyesimamia kuiua Sukita, au Urafiki textile au viwanda na makampuni mengine ambayo yana manufaa kwa Taifa.

Sasa ye kaenda kuandika habari za kijiwe cha wanywa kahawa na wacheza drafti...hii kweli imekuingia akilini?
Au uliamua kuandika tu kutokana na kukosa usingizi au kusubiri daku?

Hapo ndipo ninapopingana na nyinyi.
klabu ya Saigon haijafa, msikurupuke.

Kilichotokea ndio hicho nilichowaambia hapo juu.

Na kama mnaushahidi kuwa Simba kaiua Saigon basi uwekeni mezani ushahidi huo.
Na si kukurupuka tu na kuandika vitu msivyokuwa na ushahidi wala uhakika navyo.

kaMa hamna ushahidi basi pigeni kimya au nendeni Facebook mnakoandikaga ''am so tied'' then lundo wa oyaoya wenzenu wanatuma comments na ku like

Duh!

Siku hizi Sheikh naona umekuwa so emotional kulikoni?

maana as far as I know (at least from outside) all is fine lakini nahisi kutakuwa na lazidi

Rejea posti yangu niliyoiandika hapo juu.
Sijamtetea Simba na wala sifurahii ufisadi wake na mimi sio kibaraka wake.

Nachojaribu kueleza ni swala zima la kuandika thread na kuipachika kichwa cha habari kama hicho as if hicho kijiwe cha Saigon ni kikundi muhimu sana kwa watanzania.
Pia nimejaribu kumpasha huyo mwenzio kuwa Saigon haijafa ila kilichotokea ni kama niliyomueleza hapo kwenye post yangu ya awali.

Ni bora angeandika Iddy Simba kumbe ndie aliyesimamia kuiua Sukita, au Urafiki textile au viwanda na makampuni mengine ambayo yana manufaa kwa Taifa.

Sasa ye kaenda kuandika habari za kijiwe cha wanywa kahawa na wacheza drafti...hii kweli imekuingia akilini?
Au uliamua kuandika tu kutokana na kukosa usingizi au kusubiri daku?

siku hizi JF kabla hujaanzisha thread inabidi Mods/Admin wanaipitia wakiikubali ndio inatundikwa sasa hayo matusi yako ya reja reja ungewapa hao walio iweka hapo

Usitake kutisha watu humu. Topics ngapi umeziacha zinazungumzia pumba humu ukaja kuivamia hii inayomhusu Iddi Simba?

Wakuu nimewapata. Baati mbaya watz tu wasahalifu au hatufuatilii. Idd simba historia yake na mikono yake imejaa damu. Yule ni mtu wa deal. Ni vema ukawekwa mtandao wa idd simba humu jf ili walio wengi waufahamu. Kwenye epa hakutajwa lakini ukifuatilia sana maranda alipataje pande lile ndo utajua idd simba yu nani? Naomba wenye kuujua mtandao wa idd simba ebu unanikeni jf. Asante sana

simba keshaleta makuwadi wake humu kumtetea

itakuwa ngoma nzito lakini we dare talk openly

Similar Discussions

Back
Top Bottom