IDDI AZAN,haya sio masuala ya kuuliza bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IDDI AZAN,haya sio masuala ya kuuliza bungeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Aug 9, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nimeshangaa sana,yaani katika siku ndeeefu za mapumziko IDD Azan,amekaaa amewazaaaa ndo kaona leo aombe muongozo aulize ujinga kama huu kuwa Masaburi kalitukana Bunge,,,,,hakuna masuala ya msingi ya kuuliza,hebu fikiri masaburi si mbunge yupo nje unategemea utapewa jibu gani????mbona mnapenda kuuza sura,pamoja na madudu ya Masaburi,lakin kauli yake eti MNAFIKIRIA KWA MAKALIO naiafiki,kama ni hoja naunga kwa 100%,umeoksa cha kuuliza Azam?basi ALHAMIS uliza hili swali KWA PINDA,MANISPAA YA KINONDONI INA MKAKATI GANI WA KUHAKIKISHA MIGOGORO YA VIWANJA INAISHA????,LINGINE SERIKALI INA MPANGO GANI NA SUALA LA WAUZA UNGA HUKU KINONDONI.LINGINE TANDALE LINI WATAKUWA WANAISH BILA MAFURIKO BARABARANI??HASA KWA BI NYAU
   
 2. t

  tshaka Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sioni wajibu na mamlaka ya kamati zetu za bunge kwa manufaa ya nchi,nadhani hawajui wajibu wao,na mipaka yao kiutendaji.
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Iddi Azan kachamba upupu sasa unamuwasha ndio mana anajaribu kujizimua.
   
 4. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ili tuujue ukweli wa Sakata la UDA ni vema watu kama Mhe. Iddi Azan wakayaweka hadharani yanayoendelea waziwazi na kwa siri. Sioni ubaya kwa Mhe. Azan kuweka wazi Bungeni aliyosema Mhe. Masaburi, tujenge tabia ya kuwalazimisha Viongozi wetu kuwajibika kwa kauli zao.
   
 5. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kamtetea mkubwa wake ZUNGU, hana lolote. Swala la Masaburi haliwezi kuzungumzwa bungeni. kama limemchoma akamshitaki.
   
 6. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  magamba bwana...raha tuu
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mimi binafsi nadhan hana haja ya kulalama bungen,mnakumbuka stori za mengi na malima????maana mwishowe watasema kamat iundwe,na mtoa hoja au mwomba muongozo atashiriki na mipesa itaenda
   
Loading...