Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
Ifike hatua inabidi tume ya uchaguzi ibadilishe kanuni za marudio ya uchaguzi wa madiwani na wabunge kuliko kutumia pesa nyingi katika uchaguzi wa marudio.
Kama Maulid Mtulia amejitoa na kujivua uanachama wa CUF na alikuwa ndio mshindi wa kwanza basi tume ya uchaguzi imtangaze mshindi wa pili Iddi Azan ndio kupitia CCM ndio mbunge wa Kinondoni na aliyeshika nafasi ya pili.
Hivyo hivyo katika majimbo ya Longido, Singida Kaskazini na Songea mjini kama mshindi wa kwanza alijiondoa au hayupo duniani basi tume imtangaze mshindi wa pili.
Haya mambo ya kurudia uchaguzi ni kupotezeana muda tuu na pesa za walipa kodi katika chaguzi za marudio tusubiri 2020.
Au kama mkatangaza majimbo yote CCM ameshinda kwa kutumia kipengele ndio chama chenye wabunge wengi basi tume iwatangaze CCM wameshinda.
Tuendelee na maisha