Idd ni noma, Guest House zimefurika, Hakuna vyumba

Watu wa DSM kwanini mnahusudu sana kuchunjuana? Asubuhi, mchana na usiku mnawaza ngono tu.
 
Jamaa yangu kaingia jana saa tatu usiku akitokea Mwanza, kazunguka Sinza yote bila mafanikio, kila gesti imejaa. Kinondoni, Magomeni, ilala, Tabata na Buguruni. Saa saba usiku akakata tamaa akaja home kunigongea.
Kweli ldd ni noma.

ingelipendeza kuona wakati wa mfungo khali ya gesti zilikuwaje.........................usiku kwa mchana.................
 
Kuhusu Guest kujaa ni kweli kabisa, hawa wazee walikuwa mfungoni sasa wanafunguka, nakumbuka kabla ya mfungo tulianza na VUNJA JUNGU na sasa baada mfungo tunamaliza na TENGENEZA JUNGU hiyo ndio inakuwa balaa zaidi full kujiachia, lakini suala la hawa jamaa zetu kupenda starehe linafahamika hata kwa viongozi wao wa dini ushahidi: usiku wa habari wa juzi tarehe 29 kipindi cha TBC anayebisha kama kutakuwa na ulazima nitaupload Sauti kabisa.
 
Jamani, nani asiyejua dar mji wa kibiashara? kwani guest kujaa maana yake inahusisha watu wenye jinsia mbili? kama wote wamefika hapo kibiashara na wako singo kuna tatizo gani.

Mi sihangai kwani dar iko kibiashara na kiutawala zaidi, wageni kila saa
 
Hata yale mambo yetu ya mbuzi katololiki sasa yataanza kuwa kwa foleni tofauti na wakati kabla ya hii idi
 
Hata yale mambo yetu ya mbuzi katololiki sasa yataanza kuwa kwa foleni tofauti na wakati kabla ya hii idi

Jana nilikula hiyo kitu hapo kwenye red a.k.a mnyama wa taifa, nikamuuliza muuzaji kuhusu hali ya mauzo kwa kipindi hiki akasema wateja walipungua kidogo lakini kuanzia jana ameanza kupokea oda za kutosha toka kwa wale wateja wake waliopotea kwa takribani mwezi mzima.
 
Jana nilikula hiyo kitu hapo kwenye red a.k.a mnyama wa taifa, nikamuuliza muuzaji kuhusu hali ya mauzo kwa kipindi hiki akasema wateja walipungua kidogo lakini kuanzia jana ameanza kupokea oda za kutosha toka kwa wale wateja wake waliopotea kwa takribani mwezi mzima.[/QUOTE

Taratibu mkuu!
 
mmm Bujibuji na weye mwingi wa vituko ulienda kufata nini huko mpaka ukayajua hayo? mbona mapema sana hata watu msikitini hawajatoka wala pilau haijaliwa? hayo yanaweza kua baada ya Pilau ya mchana watu wanakwenda kutembea hapo ndio tena ooooooh haisemeki lakini asubuhi yote ?
 
Jamaa yangu kaingia jana saa tatu usiku akitokea Mwanza, kazunguka Sinza yote bila mafanikio, kila gesti imejaa. Kinondoni, Magomeni, ilala, Tabata na Buguruni. Saa saba usiku akakata tamaa akaja home kunigongea.
Kweli ldd ni noma.
Wamefungulia "kila kitu"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom