Idd Amin visits his wife Kay at Milano Hospital

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,589
215,187
CROCODILE tears: idi amin, who accused his wife kay of adultery, visiting her at the mulago hospital in kampala, before he allegedly got her killed. watch the movie: the last king of scotland.
1569375914926.jpeg
 
Sky siku hizi unachukua Phd ya History? anyway huwa namtafakari hawa dada zako walikuwa hawaoni hiyo hatari mbele yao mpaka wanakubali kuwa na mahusiano naye au kweli nyege hainaga baunsa ?
 
Mmm ndio ujue haki ya mtu ni pamoja na kupata starehe ya sex. Huyu mama hakuwa a napata hicho kitu so IDD amin inaelekea hakuwa anamtosheleza. This is lessorn learned kwa wanaume anyway IDD amin alikuwa mtu wa ajabu sana. Wanaume wajue hatujui kwao kula ugali na kulala
 
Sky siku hizi unachukua Phd ya History? anyway huwa namtafakari hawa dada zako walikuwa hawaoni hiyo hatari mbele yao mpaka wanakubali kuwa na mahusiano naye au kweli nyege hainaga baunsa ?
Unajua niliwaza hilo, huyu jamaa alikuwa 1.93 tall na kipande cha mtu.
 
Usiwe na haraka ya kuposti bila kuhariri ulichoandika, Badala ya Iddi Amin unaandika Odd Amin
 
Kuhusu huyo mwanamke kuuliwa na Iddi Amin kuna ushahidi usio na shaka kuwa Iddi Amini aliagiza auawe?

Point of History:
Iddi Amin mwka 1979 alikuwa na wake Wanne na watoto 30 na alitoroka nao wote baada ya majeshi yake kuzindiwa nguvu na Tanzania
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom