Idd Amin atupa mabomu Kagera.

OK sijakataa maana hata Mobutu wanasema hakua mcongolee ,alitokea Angola

Na kwa jinsi alivyo IDD Amini mnubi tosha
Mtu chake hata wewe unaweza kukuta your ancestors came from elsewhere. Tusijidanganye sababu enzi zile hakukuwa na mipaka bali kulikuwa na makabila. Vita ikipigwa wakati huo watu walikuwa wanachukuliwa mateka, wasichana wanaozwa kwa the concur hivyo watu walibadilishana genes kama mchezo. Makabila ambayo yanatoka mpakani hata kati ya nchi ukiuliza wagogo wanakwambia mababu zao walitokea kusini yaani ni Hottentots sasa nani ni raia???? Wahadzande tu ndo naamini ni raia basi.
 
Hahahaha

Mkuu niah umenifanya nijifikirie Mara mbili maana nami natokea mkoa ulio mpakani ,naungana na hoja yako hii
Mtu chake hata wewe unaweza kukuta your ancestors came from elsewhere. Tusijidanganye sababu enzi zile hakukuwa na mipaka bali kulikuwa na makabila. Vita ikipigwa wakati huo watu walikuwa wanachukuliwa mateka, wasichana wanaozwa kwa the concur hivyo watu walibadilishana genes kama mchezo. Makabila ambayo yanatoka mpakani hata kati ya nchi ukiuliza wagogo wanakwambia mababu zao walitokea kusini yaani ni Hottentots sasa nani ni raia???? Wahadzande tu ndo naamini ni raia basi.
 
Hilo llilikuwa halifiki vijijini niliokuwa. Tulikuwa tunaagiza Sani toka Mwanza na mabasi ya Bunda Bus service. Nilikuwa sehemu mhu... we acha tu Enzi zetu tulikuwa tunapelekwa popote.
Hapo kwenye "mhu..." nimeshapafahamu,ila wacha nipige kimya ikiwa hata wewe mwenyewe hukutaka kupataja.
 
Kwa hiyo kuvunja daraja la nchi jirani sio definition ya uvamizi?

Na anahofiaje uvamizi wakati ushasema concentration of force ilikuwa kusini, Uganda ipo kaskazini

Acha kutetea ujinga wewe
Nafikiri uko na fundamental issues za uelewa. Sielewi tiba yake kwa kweli.
 
hapana mkuu... tatizo binadamu tunapenda kusoma/kuona/kupewa/kusikia kile tupendacho

hadi sasa ukute bado uhuru lina akili sema tu linaandika yale usiyopenda kuyasoma
Sina shaka wewe ni kada wa chama chetu!
Huwezi kuringanisha gazeti la uhuru la wakati ule, na sasa. Kwanza, kupata kazi ya kuliandikia tu, ilikuwa ni kazi.
 
Dah hilo gazeti lilikuwa linauzwa senti 50, kwa shilingi moja unapata mawili, miaka 40 sasa bei imekuwa mara 2000. Ni asilimia ngapi hiyo ?
 
Back
Top Bottom