comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Kamishna jenerali wa idara ya uhamiaji nchini Dr Anna Peter Makakala amezindua mfumo wa kieletroniki utakaosaidia kuhakiki vibali vya ukaazi yaani "Residents permits" na "Working permits" vyote wanavyopewa wageni wanaofanya kazi nchini, aidha Kamishna jenerali Dr Makakala ameziomba taasisi binafsi, taasisi za serikali, makampuni na mashirika ya umma kutoa ushirikiano katika zoezi hilo ili kujua kama vibali hivyo vimetolewa kihalali na mamlaka husika.
vibali vya ukaazi vina madaraja kutegemea na aina kazi na muda mgeni atakaofanya kazi
nchini
ITV
vibali vya ukaazi vina madaraja kutegemea na aina kazi na muda mgeni atakaofanya kazi
nchini
ITV