noel oga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2015
- 271
- 219
Mimi ni mkazi wa hapa kiomboi,iramba singida.kero ni hii idara ya maji hapa kiomboi imekuwa ikifungua maji mda wa saa 12asbh mpk sa 1asbuh sikuzote.kwakweli tumekuwa watumwa kwani endapo utachelewa kuamka kuteka maji hayo basi ujue umekosa kabisa.maji haya ikumbukwe tunalipia na tunapaswa kuyapata muda wote lakin nashindwa kuelewa hii idara ina utaratibu upi.viongozi wahusika hebu shughulikieni suala hili mapema kwani ni jipu ambalo limekwishaiva