Idara ya maji hapa wilayani Ukerewe inadaiwa deni na Tanesco, Wananchi wakosa maji

mfungwa

JF-Expert Member
May 23, 2015
1,291
341
Idara ya maji hapa wilayani Ukerewe inadaiwa deni na Tanesco kama milioni 7 katika mradi wa maji kijijini LUTARE WILAYANI UKEREWE, nje kidogo ya mji wa Nansio. Mradi uliozinduliwa na Makamu wa Rais bibi Samia.
Inavyosemekana kutokana na deni hilo Tanesco imeamua kuzuia wananchi wasipate maji hadi hapo deni litakapo lipwa.
Hii ni kwa sasa miezi 4 na hakuna chochote kinachoendelea hadi deni hilo litakapo lipwa
P_20171101_083502_1.jpg
P_20171101_083416.jpg
P_20171101_083449.jpg
 
Tatizo la maji ni nchi nzima ndugu kuna uzembe mkubwa wa Tanesco na Idara ya maji sijui mkuu wa nchi analionaje hili suala
 
Back
Top Bottom