Idara ya Maji Dodoma acheni kuongezea wateja wenu bill za maji

king of the North

Senior Member
Jul 26, 2016
102
55
Wakuu za Wakati Tena..
Nikiwa Natimiza Miezi 8 Tangu Nimeamia Makao Makuu ya Nchi (Dodoma),Nimebaini Kuna Hujuma katika usomaji wa Meter kwa Wateja wengi.Last Month Nilikatiwa maji,Sijarudisha Mpaka sasa ..Sasa Kinachoendelea Kutokea Ni kwamba Naendelea Kupokea Bili Kutoka Idara ya Maji Hapa zenye Kuonyesha Current Charge natakiwa Kulipia,Wakati Huo sina Maji.Hivi Hii Ni kweli Jamani.Sababu za Kukatiwa Maji Ni kwamba Bili yangu kila mwezi Inaongezekaa.Tangu Nimeamia Hapa Matumizi Ni yale yale ya kila Siku Ila Bili za Maji zinafika Elfu 70 Mpaka elfu 96 kwa Mwezi.Yani Ni kweli Jamani Bili za Maji kwa sasa Ni kubwa Kuliko za Umeme?

Lengo la Kuandika Huzi Huu NI Kuwashauli Wahusika.Wapunguze Kutuibia,Sisi Tunatafuta Pia .Atuwezi Kalia Kulipa Bili za Maji Tu.

Wenye Dhamana Watusaidie kwa Hili
 
Mkuu waripoti kwa Kitila Mkumbo naona anajitahidi kujibia hoja za mamlaka za maji mijini!
 
Back
Top Bottom