Idara ya aridhi manispaa ya Shinyanga ni tatizo kubwa

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,614
3,903
Katika hali ya kusikitisha wakazi wa manispaa ya shinyanga walichangishwa kila@1 tsh130000/=katika maeneo ambayo yalikuwa hajapimwa ambapo ni bugweto kizumbi na masekero fedha hizo zimelipwa na wakazi bila kuzingatia mfumo wa mashine za EFD kila mmoja alipewa risiti za vikaratasi wakati tunafahamu kwamba hata minada ya ng'ombe old shinyanga hukusanya Kodi kupitia mfumo wa EFD.

Mbali na upigwaji wa pesa hiyo changamoto za ardhi zimebaki palepale Kuna watu viwanja vilingiliana lakini hawakutoa mwafaka wananchi wafanye nini hata hivo mapato na matumizi ya fedha za upimaji hawakuelezwa wananchi zilikusanywa kiasi gani, zimetumika tsh ngapi na zimebaki tsh ngapi.

Pamoja na yote Kuna wengine walipimiwa kiwanja Cha urefu wa 13 kwa upana wa 14. Pccb Kuna umuhimu wa kuchunguza Jambo kwenye idara ya aridhi hapa manispaa ya shinyanga
 
Duuuu ule mkeka "KAMA WOTE" kitaa kuna njaa anazidi kushusha Coasters za raia.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ yani sasa hivi house girl na shamba boy wananenepa ila baba mwenye nyumba na mama mwenye nyumba wanakonda tu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Back
Top Bottom