Idara husika tunahitaji maelezo juu ya maendeleo ya wabunge wetu wanaotibiwa Nje!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Tunaiomba Idara inayohusika kutupa maelezo yakina juu ya wabunge wetu wanaotibiwa nje kuhusiana na hali zao za kiafya!Aiingii akilini kuona mumekaa kimya wakati wale ni wabunge wanawakilisha watu zaidi ya 200 jimboni na hamuwapi flusa wananchi ya kutaka kujua hali za wabunge wao waliopelekwa nje kwa matibabu!!inamaana kitengo cha Habari cha Bunge kinafanya nini kwanini hakianzishi mawasiliano kwenye mitandao ya kijamii??je ofisi ya waziri mkuu kwanini haitoi habari kuhusu afya za wabunge na mawaziri walioko matibabuni nje ya nch??kwakuwa ofisi ya waziri mkuu ndiyo kiongozi wa shughuli zote bunge serikalini!!Aibu au mnataka kutuhabarisha habari za msiba?? kana kwamba mengine kama hayana tija kwenu sisi ndugu za wagonjwa,wafuasi,wanajimbo tunahitaji kujua nini mstakabali wa afya za wabunge wetu nawasilisha!!
 
Mi nasumbuliwa na kichwa nahisi ni kipanda uso nahitaji msaada wenu
nikapate matibabu india kwani mkinichelewesha mutapunguza Idadi ya
wapiga kura!
 
Back
Top Bottom