Idadi ya wazee Morogoro

kituli one

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
408
301
Naomba msaada mwenye kufahamu idadi ya wazee Manispaa ya Morogoro anisaidie tafadhali
 
Wasanii wa vi NGO, hapa lazima umetengeneza mchanganuo wa kutaka kuvuna hela ya wazungu, easy nenda ofisi ya takwimu/sensa hao wanaweza kukusaidia maana walifanya sensa miaka kama mitatu iliyopita. Kwenye sensa wanachukua taarifa nyingi ikiwemo umri, isipokuwa dini.
 
Back
Top Bottom