Idadi ya Watangazaji Clouds PB, sawa na Wafanyakazi wote kwa Redio Ingine

Na ndio kipindi chenye wadhamini wengi kuliko vipindi vyote, nahisi ni kipindi kinachotengeneza pesa kuliko vyote clouds
 
Nikionaga mada kuhusu kusikiliza redio najionaga km sipo dunia hii vile, maana ni miaka sasa sisikilizi redio
Itakuwa huna gari,muda pekee wa kuskiliza redio ni asubuh wakat wa kwenda kibaruani na jion ile kwenye folen una tune radio unapata habari.
 
Itakuwa huna gari,muda pekee wa kuskiliza redio ni asubuh wakat wa kwenda kibaruani na jion ile kwenye folen una tune radio unapata habari.
Kwamba wote wenye magari wanasikiliza redio! Halafu kwani wana jf wote tunaishi mijini eti?
Kiufupi Sina gari na siishi kwenye miji ya foleni, redio sisikilizagi kanuni za maisha hazifanani punguza kihedemswede
 
Kipindi Cha sportsbar huwa kinaruka kihuni. Producer anafeli, ukiangalia unaweza Dhani kinafanyika stationary. Watengeneze studio. Wanazidiwa na Efm Wana mjengo wao.
 
Back
Top Bottom