idadi ya wanawake wanaojilipia mahari, kufanya sherehe kwa garama zao wanazidi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

idadi ya wanawake wanaojilipia mahari, kufanya sherehe kwa garama zao wanazidi!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MARASA YOKOHAMA, Mar 29, 2011.

 1. M

  MARASA YOKOHAMA New Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo kusema wanawake wanaoa au wanaolewa kama mtindo ndo huu, je nani atavaa shela??
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hawaoi wala hawaolewi.
  Wanaoana.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hata sijaelewa unazungumzia wanawake wa aina gani maana kichwa cha habari kirefu kuliko thread!Kama ni wanawake wanaoolewa we shida yako nini?Kama wanazo na waume za watarajiwa hawana...ruksa kuwasaidia kufanikisha wanachotaka!
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Either way, it's all good
  unajua nchi za mashariki
  Wanaume ndo wanaolewa
  Lakini nchi za kiafrica
  Mwanamke ndie anaeolewa
  .....
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh kuwa uyaona haya
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Unashangaa,mbona mie yashanikuta na alinishawishi na kuniahidi kila kitu nikafikiriiiiiiiiiiii,mwisho nikasema Umarioo NO nikatoka mkuku.
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahah hahha pole sa best wangu ungekuwa wanaume kama mabinti lol :lol::lol::lol::lol:
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Fungua PM Inbox yako.
   
 9. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,661
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Lol! Paka jamani, mbona umemkatili mwenzio, umemfuatilia kama ameshapata mtu?
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mpaka leo anakwenda kusalimia mama yangu na ameahidi hatoolewa kama sintofanya hivyo mimi..
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Thread za usiku zina mambo kweli yaani title ndefu kuliko thread yenyewe??? Swali lenyewe halijakaa sawa sawa hebu malizia ulitaka kusemaje hao wanaooa ni wanawake wa wapi? Wanajilipia mahari?? Eeehhh sijaelewa ngoja kwanza
   
 12. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  tupatie takwimu ili tuweze kujiridhisha na threads yako. tusije tukakurupuka kuchangia bure. maana kwa mazingira ya kwetu bongo inawezekana hiyo ikawa ni percentage ndogo katika ndoa zote. mhhhh,sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Mi sioni tatizo. Sa kama mdada amempenda mkaka, mkaka 'mambo hayajanyooka', hela ya mahari 'haijatimia', wanataka kuoana, harusi iwe nzuri, watu wale, wanywe.. Kuna ubaya gani 'tukitumia za kwako' halafu 'mi baadae' ntakurudishia, ile 'mipango yangu' ikitiki (mfano?)
   
 14. Sarafina1

  Sarafina1 Senior Member

  #14
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimeipenda sana hii
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Hii ya mwanamke kujitolea mahari sijawahi kuisikia!!
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mkuu hata mimi hujanisikia hapo juu?
   
 17. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Join Date : 29th March 2011
  Posts : 2
  Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts  Rep Power : 0


  msimlaumu sana ndio kajiunga jana!!!

  Sarafina ongea na mwenzio mfundishe kutoa thread zenye shibe!! na zenye kukidhi mahitaji ya wana JF members!!
   
 18. CPU

  CPU JF Gold Member

  #18
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Duuuh
  Since when mkuu???
  Hii kali . . . hizo ahadi zimekutisha nini mkuu???
   
 19. CPU

  CPU JF Gold Member

  #19
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ukimwambia utoe mahari mwenyewe anasemaje?
   
 20. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,282
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Unamuumbua mwenzio mwenye kwamba mguuni wakati hata wewe una kamba mguuni. Umecomment hivyo kwa vile bado una kamba mguuni.
   
Loading...