Idadi ya waisoma namba yazidi kuongozeka

Masanyiwa Mabula

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
954
983
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, popote ulipo utafikiwa tu haijalishi wewe ni mwachama wa chama tawala au upinzani lakini mwisho wa yote utaisoma namba tu. Usifikiri ukiwa CCM hautaisoma namba lazima uisome labda kama siyo Mr. Padlock.

Linalotoka hili linakuja hili, Tulianza na:

-Bei ya Sukari

-Kufutwa ajira

-Watu wengi kunyimwa Mikopo ya elimu ya juu

-No increment

-Hakuna kupandiswa madaraja

-Uhakiki usioisha

-Hela za wahanga wa Bukoba kuliwa

-Bei ya vyakula kuwa juu, debe la mahindi 23,000, maharagwe kilo 1 ni 2500

-HELSB 15%

-Vifurushi vya mitandao ya simu kuwa juu tsh. 500-mb 70

*Bado list inakuja na kila mtu ataisoma namba tu, labda huame Tanzania. Mpaka ifike 2019 watu watakuwa kama vichaaa

Hao ndiyo CCM
 
Namba zinasomeka kwelikweli!!
Mi hata sijui nimefika ngapi maana nimechoka kuzihesabu
 
-gesi ya kupikia bei juu
-petroli na dizeli bei juu
-traffic police kuwa wakala wa makusanyo mapato zaidi ya tra
-no malipo ya overtime wala likizo
-chakula cha mifugo bei juu (mfuko wa pellet wa 50kg ni shs 78,000 sasa)
 
ujue unaweza jiuliza wanaongoza nchi kwa manufaa ya nani maana wananchi tunalalamika tunaambiwa tulime wakati kuna ukame mzee Jakaya kipindi chake aliruhusu vyakula kutoka nje ila awamu hii tunaambiwa tulime tu dah hatari sana natamani raise aende vijijini akashuhudie maisha yalivyo magumu aache kusema tu
 
Back
Top Bottom