Idadi ya wabunge wa zanzibar inatisha

jjeremiah

Member
Jul 30, 2010
43
13
Zanzibar ninavyo ifahamu ina ukubwa wa kilomita za mraba 2643 sawa na ukubwa wa kama jimbo moja au mawili ya huku bara na kwa sensa ya 2002 ilikuwa na idadi ya watu 1070000 sawa na idadi ya wilaya kama mbili au tatu za huku bara. Kinacho nishangaza ni idadi ya wabunge ambao ni 50 wa kuteuliwa na 20 viti maalumu, sijuwi madiwani na wenyeviti wa mitaa watakuwa wangapi ama huko kwa kata ndiyo jimbo na kijiji ndiyo kata na kaya ndiyo kijiji nashindwa kuelewa na je gharama za kuiendesha hiyo serekali inapatikana vipi
 
Mind you ilikuwa na wapiga kuara 370,000/= hivi kwa nchi nzima sawa na wasiozidi mkowa wa Mara, Nadhani huko kila nyumba ishirini zinatoa Mbunge ndiyo maana kura zoote za wabunge wa CUF Pemba haziwezi kuzidi kura za mabunge watano wa CHADEMA. Anyway hiyo pia ni namna ya kuishi na mtoto nyumbani.
 
Muungano ndio ulinyo undwa...Zanzibar ni nchi hata kama wako 1,000. kwani huoni kule UN kuna nchi zina idadi kubwa ya raia lakini kiti chao ni kimoja tu kama nchi yenye watu kidogo...hata EU ni vile vile...kama hukubaliani na hii system ungana na watu wanaotaka kuvunja Muungano, au angalau tuwe na Muungano wa serikali tatu...
 
muungano ndio ulinyo undwa...zanzibar ni nchi hata kama wako 1,000. Kwani huoni kule un kuna nchi zina idadi kubwa ya raia lakini kiti chao ni kimoja tu kama nchi yenye watu kidogo...hata eu ni vile vile...kama hukubaliani na hii system ungana na watu wanaotaka kuvunja muungano, au angalau tuwe na muungano wa serikali tatu...

aisee, kwa kweli umejibu kwa ufasaha hasa! Kumbe huyu bwana amesahau kuwa zanzibar ni nchi iliyoungana na tanganyika hata kama ina watu 10!! Na sasa ndio itazidi kuwa nchi kwani wamekuwa wamoja baada ya kudanganyika na multi party system za wazungu kwa miongo 4!
 
Bara inabidi waielezee hili swala kwa uma gharama za serikali ya Zanzibar ni nyingi na ni bora hiyo pesa ingetumika kwa maendeleo ya Zanzibar kuna gharama nyingi sana za kuendesha serikali ya zanzibar.
 
Zanzibar ninavyo ifahamu ina ukubwa wa kilomita za mraba 2643 sawa na ukubwa wa kama jimbo moja au mawili ya huku bara na kwa sensa ya 2002 ilikuwa na idadi ya watu 1070000 sawa na idadi ya wilaya kama mbili au tatu za huku bara. Kinacho nishangaza ni idadi ya wabunge ambao ni 50 wa kuteuliwa na 20 viti maalumu, sijuwi madiwani na wenyeviti wa mitaa watakuwa wangapi ama huko kwa kata ndiyo jimbo na kijiji ndiyo kata na kaya ndiyo kijiji nashindwa kuelewa na je gharama za kuiendesha hiyo serekali inapatikana vipi

Sishangai hata Marekani wanaojidai wasomi basi kuna wasioelewa!!!
 
Kusema kweli ni uendawazimu - wabunge sabini, wawakilishi sabini, Raisi, Makamu Raisi watatu halafu ongezea Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi wa idara za serikali na ...........duh, kwa watu milioni moja naona huko Zenji kila kaya kuna afisa wa serikali, hivyo si ajabu mambo ni mseto mseto kwani demokrasia ya nini yakhe !
 
Inawezekana baadhi yetu tumezaliwa baada ya Aprili 26, 1964 na hatukupata bahati kuhadithiwa mambo kabla ya hapo!
 
This is a complex issue to solve. It will be resolved after decades if at al...
 
hahaaa Zanzibar sio nchi..saa mbona ina rais Dr.MUHAMAD ALIIII SHEIIINII
 
Kusema kweli ni uendawazimu - wabunge sabini, wawakilishi sabini, Raisi, Makamu Raisi watatu halafu ongezea Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi wa idara za serikali na ...........duh, kwa watu milioni moja naona huko Zenji kila kaya kuna afisa wa serikali, hivyo si ajabu mambo ni mseto mseto kwani demokrasia ya nini yakhe !

Hili ni suala muhimu sana la kuangalia. Wakati watu wengine wanatathmini ratio ya idadi ya watu kwa daktari au engineer mmoja kama vigezo muhimu vya maendeleo, Wazenji watakuwa wanatathmini idadi ya watu kwa kiongozi mmoja ambayo muda si mrefu itakuwa 1:1 :A S angry:
 
Jamani ZENJI ni nchi kamili yenye bendera na wimbo wake wa TAIFA,hayo mengine ya idadi ya watu na uiano wa wabunge,wawakilishi,makatibu wakuu etc,mtajua wenyewe bana:tape::tape::tape:
 
Hivi Zanziba huw watumii kodi zetu maana kama wanatumia tuna haki ya kuhoji ukubwa wa serikali yao
 
tatizo tunalazimisha muungano..?! while bara tukijitenga hatupungukiwi na chochote!...
 
Mind you ilikuwa na wapiga kuara 370,000/= hivi kwa nchi nzima sawa na wasiozidi mkowa wa Mara, Nadhani huko kila nyumba ishirini zinatoa Mbunge ndiyo maana kura zoote za wabunge wa CUF Pemba haziwezi kuzidi kura za mabunge watano wa CHADEMA. Anyway hiyo pia ni namna ya kuishi na mtoto nyumbani.

kila nyumba kati ya kumi mpaka 20 zina mbunge wa muungano na mwakilishi. kura zote za mnyika au mdee ni sawa na wabunge wa cuf zanziba kumi.
 
aisee, kwa kweli umejibu kwa ufasaha hasa! Kumbe huyu bwana amesahau kuwa zanzibar ni nchi iliyoungana na tanganyika hata kama ina watu 10!! Na sasa ndio itazidi kuwa nchi kwani wamekuwa wamoja baada ya kudanganyika na multi party system za wazungu kwa miongo 4!

Nadai Nchi ya Hanang' in wakazi 190,000.
 
Bara inabidi waielezee hili swala kwa uma gharama za serikali ya Zanzibar ni nyingi na ni bora hiyo pesa ingetumika kwa maendeleo ya Zanzibar kuna gharama nyingi sana za kuendesha serikali ya zanzibar.

Asante Kamundu, zanzibar inatakiwa iwe na wabunge watano, kwa maana ya pemba wawili na Unguja watatu.

Wananchi wa Zanzibar ni Sawa na idadi ya wakazi wa Kawe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom