Idadi ya vijiji mitaa na vitongoji tafadhali tanzania tafadhal

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,839
7,502
kuna vijiji mitaa na vitongoji vingapi hapa tz nipeni data kuna mala niliziona sikukopi
 
nataka nijue mana ccm tumeshanyakua 3000 mitaa vijiji na vitongoji unaweza ona ni vingi kumbe bado sa kutegemea jumla yake tafuteni majibu vijiji vingapi mitaa mingapi vitongoji vingapi ili tunapofuatilia uchaguzi tuwe na picha
 
Back
Top Bottom