Idadi ya Vifo Vya Corona Nchini Marekani Yazidi Idadi ya Wamarekani Waliofariki Wakati wa Vita Vya Vietnam

JM3

Senior Member
Dec 13, 2019
157
328
Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imeongezeka na kufikia zaidi ya Milioni moja, huku idadi ya watu walipoteza maisha ikifikia zaidi ya 58,000.

Takwimu za kiafya zinaonesha kuwa kwa sasa Marekani ina visa vya maambukizi 1,035,765 huku idadi ya watu walipoteza maisha ikifikia zaidi ya Elfu 59.

Wachambuzi wa mambo nchini humo wanasema idadi ya watu walipoteza maisha sasa inazidi ile iliyoshuhudiwa wakati wa vita nchini Vietnam.

Kulingana na ripoti ya Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, watu 59,266 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani, nchi iliyoathirika zaidi ulimwenguni, wakati askari 58,220 wa nchi hiyo walipoteza maisha wakati wa vita vya Vietnam (1955-1975), kulingana na ripoti rasmi iliyochapishwa kwenye Jalada la kitaifa.

Ongezeko la maambukizi na vifo linatishia hatma ya kisiasa ya rais Donald Trump ambaye atatetea kiti chake wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi Novemba.

1.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1434555

Sent using Jamii Forums mobile app
Nanasikia jamaa wanakumbana na mdororo wakiuchumi mbaya kabisa kuwah kutokea US tokea Mwaka 2009

Wataelewa kama Turampet Sio RAIS anaendekeza Ubaguzi na Ukurupukaji Bwege Yule .

Sent using My COVID-19
 
Wembe uko uchogoni wewe tia maji utanikumbuka!!
Nimeuliza tu MKUU kutia maji wala sio shida

Nimeuliza US wanakwamia wapi mbna wanakufa sana basi si waombe hata msaada wa UCHINA wasaidiwe

Nanimesikia wanakumbana na changamoto ya mdororo wa UCHUMI hii haiwezi kweli kuiathiri US katika Kipindi Hiki.

Sent using My COVID-19
 
Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imeongezeka na kufikia zaidi ya Milioni moja, huku idadi ya watu walipoteza maisha ikifikia zaidi ya 58,000.

Takwimu za kiafya zinaonesha kuwa kwa sasa Marekani ina visa vya maambukizi 1,035,765 huku idadi ya watu walipoteza maisha ikifikia zaidi ya Elfu 59.

Wachambuzi wa mambo nchini humo wanasema idadi ya watu walipoteza maisha sasa inazidi ile iliyoshuhudiwa wakati wa vita nchini Vietnam.

Kulingana na ripoti ya Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, watu 59,266 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani, nchi iliyoathirika zaidi ulimwenguni, wakati askari 58,220 wa nchi hiyo walipoteza maisha wakati wa vita vya Vietnam (1955-1975), kulingana na ripoti rasmi iliyochapishwa kwenye Jalada la kitaifa.

Ongezeko la maambukizi na vifo linatishia hatma ya kisiasa ya rais Donald Trump ambaye atatetea kiti chake wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi Novemba.

View attachment 1434555

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie ananiachaga hoi hiko kidomo chake tu. 😂
 
Back
Top Bottom