Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 342
Kama umeangalia vizuri utaona kwamba rufaa zinakubaliwa na zingine zinakataliwa. Ukiangalia idadi ya zinazokubaliwa na kukataliwa, hasa kwa ubunge utaona kwamba idadi ya zinazokubaliwa na kukataliwa ni nusu kwa nusu.
Ikiendelea hivi maana yake kama wabunge walioenguliwa na walikuwa 60, basi baada ya rufani zote watabaki 30.
Kwa hesabu hiyo bado upinzani watakuwa looser, maana kupoteza 30 ni wengi
Ikiendelea hivi maana yake kama wabunge walioenguliwa na walikuwa 60, basi baada ya rufani zote watabaki 30.
Kwa hesabu hiyo bado upinzani watakuwa looser, maana kupoteza 30 ni wengi