Elections 2010 Idadi ya kura za ccm ni picha ya idadi ya mafisadi na mambumbumbu katika taifa hili

tbetram

Member
Nov 1, 2010
31
4
Idadi ya kura za CCM katika uchaguzi huu ina represent jumla ya mafisadi na mambumbumbu wa Taifa hili.

Endapo Chadema tutashinda kiti cha urais tutumie takwimu hizi kuwashugulikia mafisadi na kuwapa elimu mambumbumbu
 
Back
Top Bottom