Sio muimbili ni Muhimbili, Hivi mkuu Mfano tuchukue MD kuna chuo chochote hapa Bongo kina admission capacity kubwa ya MD kushinda MUHIMBILI ili hoja yako Iwe na uhalali!?Ni kama muimbili tu hamuendi wote
Maybe nikutokana na required capacity wanayohitaji na wanayoweza ku hundle
Japokuwa sijaulizwa Mimi Ila Naomba kujibu, ndio mkuu vipo vyuo vingi Tu ambavyo vina admission capacity kubwa kuliko Muhimbili ila vya private labda kama ulikuwa unaongelea vyuo vya GovernmentSio muimbili ni Muhimbili, Hivi mkuu Mfano tuchukue MD kuna chuo chochote hapa Bongo kina admission capacity kubwa ya MD kushinda MUHIMBILI ili hoja yako Iwe na uhalali!?
Okay, mkuu hebu naomba nisaidie hivyo vyuoJapokuwa sijaulizwa Mimi Ila Naomba kujibu, ndio mkuu vipo vyuo vingi Tu ambavyo vina admission capacity kubwa kuliko Muhimbili ila vya private labda kama ulikuwa unaongelea vyuo vya Government
haina shida mkuu, Miongoni mwa hivo vyuo ni pamoja na CUHAS,HKMU,KCMU na SFUCHASOkay, mkuu hebu naomba nisaidie hivyo vyuo
Vyuo vyetu vimejaa ubaradhuli sana na ukiritimba.Sijui sababu za UDSM, lakini mazoea yalikuwa kuona diploma ni elimu ya kambo. Chochote ambacho siyo O-Level+A-Level kinabaguliwa na kutiliwa shaka. GCE+FTC, Certificate+Diploma, VTC, n.k., vyote hivyo ni "mafunzo", na siyo "elimu", kwa mitazamo fulanifulani.
Mkuu mwaka Jana tu Muhimbili wamechukua 270 wakati, CUHAS hata 200 sizani Kama walifika!!haina shida mkuu, Miongoni mwa hivo vyuo ni pamoja na CUHAS,HKMU,KCMU na SFUCHAS
Asante Kwa taarifa mkuuMkuu mwaka Jana tu Muhimbili wamechukua 270 wakati, CUHAS hata 200 sizani Kama walifika!!