Idadi hii ya watoto inanipa shaka..

kibunange

Senior Member
Feb 18, 2015
165
148
Wakuu naomba ushauri wenu,

Nina miaka 27 mpaka sasa ila kinachoniumiza kichwa nimezaa na wanawake watano nina watoto 7.Kila mwanamke ninayegusa anabeba ujauzito.

Najiuliza itakuwaje nikifika miaka 50.

Ushauri wenu.

Ahsanteni
 
We endelelea tu mkuu, ww kwani unataka ufikishe wangapi?
Maana sioni popote unaposema unataka uache tabia ya kutembea na wadada hovyo na inaonekana we ni mzee wa peku. Jitahid basi hata kuvaa ndom. Magonjwa mengi kaka
 
Mkuu kila mtoto anakuja na riziki yake! Hebu tengeneza timu mbili za Mpira! 11*11:22, ukipata nafasi tuwekee na substitute kama 8 hivi maana timu yetu ya taifa wametokea sengerema, na mkazi yeyote wa sengerema ni Msengerema! Jitahidi broo
 
Shida nina nyota ya mimba hata tukidoo mara moja tu..baada ya muda kitu
 
Hahaha mkuu, umewapima DNA hao watoto?? Mana usije jiona dume la mbegu kumbe kuna wadau wanakusaidia
 
Dah Tanzania yangu
1467547065057.jpg
 
Hujasikia kitu kinaitwa condom!? Unaishi dunia ipi?

Wakuu naomba ushauri wenu,

Nina miaka 27 mpaka sasa ila kinachoniumiza kichwa nimezaa na wanawake watano nina watoto 7.Kila mwanamke ninayegusa anabeba ujauzito.

Najiuliza itakuwaje nikifika miaka 50.

Ushauri wenu.

Ahsanteni
 
usijali kabisa ndugu yangu maana miaka 50 hutafika! RIP in advanced!
 
Wakuu naomba ushauri wenu,

Nina miaka 27 mpaka sasa ila kinachoniumiza kichwa nimezaa na wanawake watano nina watoto 7.Kila mwanamke ninayegusa anabeba ujauzito.

Najiuliza itakuwaje nikifika miaka 50.

Ushauri wenu.

Ahsanteni

Hongera kamanda, maana wewe huwezi kuwa mgeni wa zamaradi.
 
Ingeanzishwa sheria nchini ya kuhakikisha wanaume wanatoa child support kwa watoto wao wakiwemo watoto wanaopatikana nje ya ndoa ili kuwahakikishia malezi bora, hii tabia ya kuzaa nje ya ndoa labda ingepungua sana.

Na mtu kama ni mfanyakazi basi Serikali au wizara husika inawasiliana na mwajiri kuhakikisha huyu anakatwa kila mwezi toka kwenye mshahara wake kiasi ambacho kitaamuliwa na Serikali ili kusaidia malezi ya mtoto/watoto husika.
 
Wakuu naomba ushauri wenu,

Nina miaka 27 mpaka sasa ila kinachoniumiza kichwa nimezaa na wanawake watano nina watoto 7.Kila mwanamke ninayegusa anabeba ujauzito.

Najiuliza itakuwaje nikifika miaka 50.

Ushauri wenu.

Ahsanteni
Duhh!! uko vizuri aiseee!!
 
Ingeanzishwa sheria nchini ya kuhakikisha wanaume wanatoa child support kwa watoto wao wakiwemo watoto wanaopatikana nje ya ndoa ili kuwahakikishia malezi bora, hii tabia ya kuzaa nje ya ndoa labda ingepungua sana.

Na mtu kama ni mfanyakazi basi Serikali au wizara husika inawasiliana na mwajiri kuhakikisha huyu anakatwa kila mwezi toka kwenye mshahara wake kiasi ambacho kitaamuliwa na Serikali ili kusaidia malezi ya mtoto/watoto husika.
Hapo ndo wangetia akili,na Condom wangeziona umuhimu wake.Hili ni wazo zuri sana i wish waziri wa afya na jinsia na watoto angeiona hii post yako.Watu hawajali kabisa wanazaa ovyo ovyo tu.
 
Back
Top Bottom