Idadi halisi ya watu waliokufa kwa kupigwa risasi Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idadi halisi ya watu waliokufa kwa kupigwa risasi Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimbo, Jan 20, 2011.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF, mada hii ya mauaji ya Arusha imejadiliwa sana hapa jamvini na tumepata kujua mengi ambayo tusingeyajua kwani serikali na baadhi ya vyombo vya habari havikujaweka hadharani.

  Ila kila siku zinavyozidi, mambo mengi yanazidi kuibuliwa. Nimekuwa na maswali mengi sana juu ya Idadi kamili ya watu walikufa kwa kupigwa na polisi aidha kwa risai au kwa namna nyingine yeyote.

  Taharifa zilisema ni watu wawili, baadaye akaongezeka mkenya, mara nasikia kuna polisi aliyekufa.

  Watu watu waloiopigwa risasi na kujeruhiwa walikuwa zaidi ya 30,na walishikiliwa na polisi kwa madai ya kusababisha vurugu. Kati ya hao, hakuna taharifa zozote zinazotolewa kuhusu maendeleo yao, kama wamepona au kuna waliokufa. La kushangaza zaidi ni kuwa pamoja na kwamba walikamatwa na polisi, hawakusomewa mashitaka.

  Kutokana na hali hii naomba kama kuna mwenye taharifa sahihi ju ya mambo haya atujuze, kwani kwa Polisi wanaweza kuua watu na kuwapeleka mwanako jua wao, ili mradi maovu yao yasijulikane.

  Naomba kama kuna watu walipotelewa na ndugu zao hapa Arusha siku ya tukio la mauaji, na ambao nugu zao walijeruhiwa na polisi wajitokeze ili mambo yawe wazi.

  Pia madaktari, wauguzi wa mahospitali na zahanati mbalimbali ndani na nje ya mkoa tunaomba watupe habari kama kuna maiti au majuruhi wa kupigwa risasi walio wapokea ili tufuatilie kwani Askari wana waza kuwapeleka sehemu mbalimbali ili kupotosha ushahidi.

  Ni maoni na mawazo yangu.

  NAWAKILISHA
   
 2. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli umenena
   
 3. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha umbea, umekosa la kufanya?
  Serikali imeshatoa taarifa kamili juu ya waliokufa, cha ajabu unataka kulisha watu upuuzi wako.
  Si lazima uweke pumba humu jamani. Umelewa kisiasa wewe.
   
 4. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbeya ni wewe ambaye hata unashindwa kusoma ukajua jamaa ametoa point, au unafikiri kila kitu siasa. Mpuuzi mkubwa wewe, next time soma mpaka mwisho, digest then ndiyo utoe comment.
   
 5. V

  VSM Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Wewe ndo unaeongea pumba, kwenda huko!
   
 6. WAKUNJOMBE

  WAKUNJOMBE JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  WE JF SENIOR EXPERT MEMBER gani unashindwa hata kujadili hoja...........sasa ww ndio mbumbu.....

  Usidanganywe na tamko la serikali ya JK.......FANYA UPEMBUZI MWENYE.........
   
 7. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sikutegemea haya yatoke mdomoni mwako!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  taraaaatibu mkuu. twende taratibu
   
 9. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli wewe uwezo wako unaonekana kuwa mdogo zaidi ya piriton. Soma mada kwa makini kama huna cha kusema nenda kakune nazi unaga mboga baba anakaribia kurudi job
   
 10. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu mimi naweza kusema sijui idadi kamili ya watu waliokufa. Lakini hata siku moja siwezi kuamini taarifa za serikali.

  Serikali imetuambia mengi ambayo wengine wanaamini wengine hatuamini. Lakini inaonekana ambao hatuamini tunakuwa right kuliko wale wanaoamini. Inawezekana kuwa ni pumba lakini ni pumba za kweli.
   
 11. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Ukweli uwezo wak wa kufikiri ni sawa (-100).
  Mimi nilitoa mada ili kila mtu achangie juu ya idadi kamaili ya watu waliokufa ua kjeruhiwa. Nilitegemea ungeweka data unazozijua juu ya idadi ambayo serikali imetoa, ila la ajabu unasema serikali imeshatoa taarifa kamili bila kuweka data kamili.

  USHAURI WA BURE:
  Usikurupuke kupinga kitu ambacho hukijui kwani wato watakudharau na hata kama sikunyingine utakuwa na post yenye manufaa, watu hawatachangia kwani watafikiri ni umbea.
   
 12. papason

  papason JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Ahaa Malaria Sugu! naona umerudi ki vingine ila tumekushtukia
   
Loading...