ICT; serikali inatambua umuhimu wake maofisini? au ni fasheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ICT; serikali inatambua umuhimu wake maofisini? au ni fasheni

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paul S.S, May 26, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mimi kitaaluma ni muhasibu lakini napenda sana IT maana naamini katika hiyo itatusaidia kupigambele hatua na kupunguza kero nyingi za wananchi kama ikitumiwa vizuri fursa hii.
  Jicho langu kubwa lipo Serikalini na idara zake

  Hivi nyinyi wataalamu wa ICT mlioajiriwa serikalini mpo hapo kudeal na virus tu au? samahani najua mpo humu lakini ubunifu weni ni muhimu katika sehemu za kazi na hasa ninyi maana technolojia hii ndio kwanza inaanza hapa bongo,
  Maboss wengi ni wazee hawajui kompyuta ninafasi yenu kuwashauri na kuanzisha huduma bora zitakazo saidia uraisishaji kazi maofisini kwa wafanya kazi na wateja.

  Nenda Bodi ya mikopo, TRA, Uhamiaji, BRELLA, Ardhi, Mahakamani, Hazina, makao makuu ya idara mbali mbali,wizarani nk, niaibu kila kitu manually.
  Hii sio dunia ya kuambiana eti faili lako halionekani, alafu cha ajabu katika hizo ofisi kila mtu ana pc ktk meza yake anaangalia facebook,tweeter, jf, ngono nk

  Hii zama ya hard copy inabidi wataalamu wa ICT maofisi ya serikali mtusaidie iondoke ije zama mpya ya soft copy, Form six akimaliza chuo aende online ajaze form maalum kwisha mchezo, baada ya muda apewe majibu no or yes.na sio wajaze hard copy wazitume bodi kisha ndio muanze kuingiza ktk kompyuta maombi zaidi ya elf10

  Nataka kusajili jina la kampuni naingia site ya brella naingiza jina na search kamalipo naendelae na registration online, kama kunanyaraka na scan kisha unasend, huitaji kuja kufanyia dar makao makuu.

  Website za wizara na idara za serikali zimegharimu pesa nyingi kuzitengeneza lakini hazina chochote kusaidia utendaji kazi zaidi ya kujisifu na kuweka sera zisizotekelezeka,
  hazifanyiwi updates zingine zina virus lakini ma ICT wanachapa usingizi wa pono maofisini,
  Imekuwa ni kama fasheni ilimradi tu website ipo

  Mtazamaji, na wenzako hebu tuambieni nini tatizo, je ni sheria haitambui soft copy, je ni ngumu kuwa na mfumo huo kitaalamu pengine inahitaji heavy material ambayo hatu afford, je ni watu hawataki maana uta haribu ulaji, je ma ict hawatoi ushauri stahiki na kuwa wabunifu sehemu zao za kazi au nini?

  kwa sasa balozi nyingi hawaitaji hard copy hata moja kila kitu online hard utaenda nazo siku ya interview tu na utaondoka nazo,leo ni rahisi ku apply chuo kikuu usa or uk online kuliko kuapply chuo hapa tz.

  Nawasilisha
   
 2. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Hakuna jipya paulss,na kuna wazee ukiwaambia kuhusu technolojia wanatamani wakufukuze kazi wakihofia nafasi zao!!!!
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sio kweli mzee mi naamim vijana wengi wasomi utaalamu wetu tunaongelea kwenye bar na pub na humu jmavini. Tukifika maofisini officialy hatupendekezi au mabadiliko yeyote kiofisi.

  Tumezoea tunasubiri bosi aseme.yaani ile style inaitwa top down.

  Tujiulize wasomi wangapi kwenye ICT na hata wengine serikalini Officilaly waandika memo kwa wakuu wao kuwashasuri mambo mapya ,techology mpya na vitu vipya na njia bora ya kufanya kazi sehemu zao za kazi kutumia teknolojia.

  Mi nina hakika hata kama boss hajui kitu ukiandika kitu kizuri atakikubali sababu hata yeye kitamjenga. Na kikitaliwa sio udhaifu na kinakuwa kwenye record. Hata hao tunaoita wazungu ndo wanafanya kazi zao hivyo . Ndio mana unakuta mtu hana degree lakini utendaji wake unazidi hata mwenye PHd wa kibongo.. teh teh teh teh


  So moja ya tatizo letu sisi tunaojiita watalaamu iwe wa serikali au sehemu nyingine hatujui formal na official way ya kufanya kazi zetu. Kuna wataalam wana ideas lakini hawajui How to communicate it to who.

  Utasikia mtu anamponda boss wake hajui kitu lakini ukimuuliza je unajua umefanya nini kumjulisha???? umewai kushamuri kisofisi. Anakwambia huwa namwambia. Official communication inakwenda kwa maandishi. sio mdomo.

  Sasa hata kama wewe muhasibu nakuuliza ukifanya kazi miaka mitano ofisi fulani bila kutoa pendekezo lolote jua sisi sote wana ICT na nyie wahasibu tuna ugonjwa mmoja inabidi tubadilike.

  Mimi naamin kila atika ofisi lazima kuna mabdiliko fulani yanahitajika. So whaat arewe doing??? Tusiwarushie mzigo wazee tu na sisis vijana tunamatatizo.

  Paulss Tataizo letu Tanzania ni siasa wanasiasa wanaweka siasa mbele na sisi profeesiona tumeshakuwa wanasiasa bila kujijua. Soma ka mfno kadogo niowai kuandika kwenye haka kablog web kangu ka mazoezi kuhusu TBC. http://teknohama.x10.mx/.

  Hii ni moja Taasisi amabyo inatakiwa kuwa mfano kwenye matumizi ya ICT lakini ukiingia kwenye Tovuti yao unagundua wamenzsiha ile Tovuti kama fasheni tu. H awana latest clip za Audio au video. TBC hawana Channel Youtube ambayo ni bure. Haina tofauti na tovuti ya gazeti......... . Contact za chumba cha habari au za kupokea maoni hakuna. Ukituma comment hawajibu.....

  But siwezi kushangaa hiyo tovuti nikiaambia inakuwa mantained kwa mamilioni kila mwezi. Basi wale pesa lakini wafanye kazi........... Huu ni mfano kuwa sisi ni watu wa longolongo.

   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  JK kazindua Windows 7 ya kiswahili labda itasaidia.
   
 5. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante kwa changamoto...

  Matatizo yako kwenye sehemu nyingi...

  1. Serikali - sera ya ICT ni ya 2001 mpaka leo hakuna chochote kilichofanyika maana. implementation level and review
  2. Sehemu nyingi mabosi wa ICT sections/units siyo watu wa ICT kwa hiyo wako slow kwenye management level - strategic planning and business process re-engineering.
  3. ICT is rapidly changing field wengi wa wataalamu wanaachwa nyuma na kasi kwa kuwa hatupendi kujifunza.
  4. ICT Training institutions - most of them do base on theories.....wanafunzi GPA kubwa but no delivery wanapoajiriwa
  5. Budget ya ICT ikoje kweye MDAs. private sector wanafanya vizuri kwa sababu kuna priority ya ICT - Top management
   
 6. whizkid

  whizkid JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 301
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Wapo wachache wanafanya kazi zao ipasavyo, lakini wengi walisoma IT computer zenyewe wamezikuta chuo! Siwezi kuwalaumu moja kwa moja, kwani tatizo ni pana zaidi. Sio kwa watu wa IT tu. Watu kibao pasua kichwa serikalini, maana mwajiri mwenyewe ana malaria kichwani!
   
 7. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  yaani ndo itakuwa ngumu zaidi bora wangeacha tu kwanza....Just my views...
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu nakubaliana na wewe hata sisi wengine hatutoa ushirikiano wa kutosha.
  Mfano mimi ofisini kwangu nimewekewa pc, lakini utaratibu wa utendeji kazi wangu pc haiusiki kabisa, kilakitu ninafanya manually labda nikitengeneza ripoti ya mwezi ndio na tumia tena kuandikia cover letter tu yenye mistari isiyozidi mitano, The rest natumia kubrowse mara jf,,fb nk. Kuna wakati nilisema niitumie kwa kazi lakini hakuna muongozi uliotolewa wala software wala format ninayotakiwa kitumia kwa kazi zaidi ya kuitumia kwa kumbu kumbu zangu binafsi za kiofisi

  Issue ni nani wa kuintroduce namna bora ya kutumia hizi kompyuta kwa kurahisisha kazi, Muhasibu anajua hii ni kazi ya IT, na IT anasubiri hadi aambiwe na bosi fanya hivi as long anapata mshahara wake. kwahiyo kinachotokea ni watu wanakula ten pacent pc zinafungwa na hakuna muongozo. mtu anakaa tu nali pc lake hajui la kufanya, kumbuka na kozi unapelekwa na pesa ya ofisi

  Kuhusu TBC nikweli utadhani ni wesite ya gazeti hamna hata video clip moja latest, ukiambiwa gharama ya kumaintain hiyo website kwa mwezi unaweza kulia
  By the way nimependa muonekano wa site yako, ipo simple an clear, ninampango wa kuanzisha kaproject kangu katahitaji website, ntakucheck kwaajili ya web kama yako
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Pauls hata wewe muhasibu una mchago mpya wa kitoa kihasibu ofisni kwako. Inawezekana hata wazo lako lisihusiane na IT but unaweza kuwa na wazo fulani la kihasibu jipya but hupendekezi. Hicho ndo nachsema .

  Yaani unafanya kazi ofisi miaka kama kumi a hakuna hata utaratibu fulani i umebadilika.

  • Mfano nikukuuliza tofauti ya ripoti ulituma mwezi wa 3 na mwezi wa nne zina tofauti gani.? Iwe ni mapato au matuzimi

  • Nini kimepelekea kuwe na tofauti ya matumizi au mapato .Miezi hiyo?

  • Nini kifanyike
  Nachomaanisha hata kama wewe ni muhasbu lazima kuna vitu ripoti yako ina miss au haijubu. Sasa ni wajibu wako kumsaidia mkku

  Anyway inawezekena boss hana sababu kujua kutoka kwenye analysys yenu lakini wewe kama muhasibu unaweza kusaidia kushauri Standard format ya ripoti japo ni manual amabayo inakuwa ni wazo lako lakini kwa manufaa ya ofisi na Utendaji.

  Mimi naamina iwe manual or computer kila kitu baada ya muda kinahitaji marekebisho au maboresho

  Nadhani utakuwa umenilewa . Hakuna sehemu au section isyohitaji Change. tatizo ni nani wa kuinitiate au kupendekeza change. But usishanage ukipendeeza kitu kizuri wenzako wakakuita unajipendekeza. .........

  Ukiwa na Boss au incharge wa ajabu ndo ataona unamfudisha kazi badala ya kukupongeza. But mm kama nina zuri section yangu naliandika likikubalika au kukataliwa powa but najua lio kwenye rekodi.

  Kutumia njia hii nimeona sometime maboss na maincharge wengine wanasingiziwa au tunawafikiria vibaya kumbe sisi wenye mawazo mapya na mzuri tupo nayo kichwani tu.
   
 10. P

  Paul S.S Verified User

  #10
  May 26, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180

  Mkulu you said it all.
  Budget huwa kubwa kwenye implemantation, makompyuta yatanunuliwa kwa bei ghali, installation gaharama juu, maintanance za gharama, website za gharama nk,
  lakini hakuna plan mathubuti ya how to use this technology kwa urahisishaji kazi, nikama ziliwekwa ili watu warambe pacent yao tu.

  Kwenye red napo kuna shughuli pevu
   
 11. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  6.Wengi wananufaika na Manual work. Ukileta ICT wanaogopa itaziba mianya ya wizi.
   
 12. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wakuu mimi ni software Engineer mwenye uzoefu mkubwa. Nimejaribu kupita ofisi mbali mbali za serikali kuwashawishi ku automate their bussiness lakini wananiona kituko. Nafanya kazi na makampuni binafsi wengi ni waelewa. Hao wasomi wa ICT huko maofisini nao ni kikwazo.
  Hawataki kutoa kazi watu wengine wafanye wakati wao wenyewe hawezi kuzifanya.
   
 13. SONGEA

  SONGEA Senior Member

  #13
  May 26, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  THe best way ni kuwa na watu wengi level ya watoa maamuzi ambao wana TAALUMA ya ICT.
  Unakuta taasisi ina Mkuruenzi, Meneja na mtaalamu wa ICT yupo level ya Section/kitengo. Hivyo kwenye maamuzi makubwa yeye hausiki. Akitaka training/short course Hao wafanya maamuzi wanasema ulishasoma. kwa hiyo huyu mtu anakuwa hapati updates!!
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani tunakosea tunapodhani matatizo tuliyonayo mengi yataondoloew ana computerisation . Mfano serikali ya Tanzania ina Automated Account Sysytem sijui inaitwaje. lakini cheki Report za CAG.

  Ukienda ku atomate manual process yenye matatizo bila kuangalia marekebisho yanayotakiwa kwenye ile manua system ina maana umehamisha tatzio from manual to computer. Mfano halisi ni system ya Acoount ya serikali. Its compurised but ina matatizo ......


  May be can u come with an example fucntions gani ulitaka ku automate katika ofisi XYZ bila kukitaja jina la ofisi husika.

  Mi naamin kwenye serikali computer dep nyingi zina watu wamemaliza Chuo Kikuu na vyuo vingine respected. what are they doing to advice wakuu wao?
   
 15. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Je nafasi ya rushwa ikoje kukwamisha business process re-engineering kwenye serikali yetu? Nakubaliana na Mtazamaji kwamba mfumo mzima hata bila computer hauna ubunifu.
  Life as usual kwenye kazi, wengine wako tayari kuharibu system ili wasifanye kazi............au wapate nafasi ya kula.
   
 16. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Haswaa hayo ndio mazingira halisi ya ofisi nyingi za Serikali.
   
 17. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe mkuu. Kwa upande wangu mimi sio kuwa nauza "offshelf " software bali natoa solution. Naanzia kuchunguza hizo bussiness process kwanza, halafu tunafanya "Process re engineering". Hizo process mpya ndio zinafanyiwa automation. Na hiyo ndio maana ya Software Engineering, sio ku install software tu. Kumaliza chuo sio kuweza kazi. Chuo ni theory, theory bila practice ni mchezo wa kuigiza. Pia kumbuka kuwa wafanyakazi wengi wa serikali wamekata tamaa ya maisha kwa kipato kidogo wanachopata.
   
 18. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ninaomba kwa wale walioko serikali na wanapitia hizi nyuzi, nawapa changamoto wasibwete na semina na kila siku ili mradi wapate per diems then kama kawa.
  Wajaribu kuwa wabunifu waende hata kwa wenzao ambao wako private sekta ambao kwa kiasi fulani wanajitahidi au wanapata resources ili waweze kudeliver. Kusoma kujiendeleza hata online na kufanya practice ni muhimu.
  Najua tutachukua muda kupata ufanisi kwenye ICT serikalini maana kazi iliyopo kwa sasa ni kununua vifaa bila kuvitumia, kwenye manunuzi wanapata 10% za nguvu.............

  Shime wote tujitahidi kuendeleza sekta ya ICT na nyingine maana ICT inaingia kwenye kila idara......................Uongozi wa nchi lazima uwe committed kuleta maendeleo ya kweli kupitia ICT mifano iko mingi angalia wenzetu Rwanda...............
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu nakubaliana na wewe kiasi lakini kwenye statemet yako tayari umeonyesha kitu ambacho nami ni wasi wasi wangu kuwa sisi ICT proffsiona tuna concetrate kwenye comperisation bila kuelewa true problem.

  While mtu asiye jua mambo ya ICT au mtaalam wa ICT amabaye ni yuko fasta anaweza kudhani computersion inaweza kuongeza efficinecy na productivity wa tatizo lolote Solution ya tatizo kwenye kitengo au Ofisi kama uliyotaja juu inaweza kuwa
  Motivation na appraisal kwa human resource au changing sequence of manual process tu na sio computerisation.

  Ndio maana nasema ofisi na vitengo vingi vya serikali vina computer systems in place but bado output sio promising.

  Chuo na vyuoni kweli ni theory lakini je hizo theory kwa nn hawazifanyii kazi. Mimi nakumbuka nikiwa chuo Kuna mwalimu alitufudisha kuandika memo. Nikawa najiuliza mambo ya kuandika memo na communication skills yana umuhimu gani kwa mtu wa kompyuta....

  Baade katia practical life niligundua watu wangi na professinal wengi wanashindwa kudeliver sababu hatujui ku communicate ideas zao sio kwa sababu hatujui kazi. Hapo ndo nikaguduakwa nini nilifundishwa Communication skill .Difference btn good and bad Software enginerror programmer inaweza kuwa tu kwenye dcumentation or communication.

  Na IT professional wengi hawapendi kuandika andika.

  Sasa Usishanage pia kwa nini vitengo vya IT vinongozwa na watu wasio na Background ya IT. Mjaya sababu ndo hiyo. In Office we are not good communicator or reporter We dont write report.

  Kuna hii Quote nilikutananayo Backtrack amabyo inaweza kuelezea mojaa tatizo tulinalo sisi wa wataalama na specifically wa IT.



  So mimi bado lawama kubwa naziweka si kwa Managers but kwa sisi Operationl personnel amabao ndio tunatakiwa tuwashutue na kuwaamba hao managers.
   
 20. mazd

  mazd Senior Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nakupa 5 kwe suala la TBC, wanaringa ajaabu-
   
Loading...