youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,253
- 2,908
Naomba namba yako naitakamkuu tuongee biashara ni PM
Hahahahahah, dah nimecheka sanaBila shaka we utakuwa mwalimu.
Mwambie ale kwa kulamba kama pipi itayeyuka tu.
Hawatakwenda msala mkuuKoroga uji wa ngano ukianza kuiva iva changanya unga wa ubuyu vichemke kwa pamoja mpaka viive. Ila uwe unapitisha mwiko mara kwa mara ili visiungue. Nilishafanya hii biashara na inalipa vibaya
Source BX328C soft ice cream machine portable ice cream maker with wholesale price on m.alibaba.comkuna jamaa nilimkuta sabasaba mwaka huu ana mashine inachanganya na kutoa ice cream zile za kwenye kopo kama bakhresa alinambia ile mashine ni 3m je kuna yeyote mwenye kujua upatikanaji wake au zipo ndogo ile mimi naona ina pesa sana maana utauza kwa kupack kwenye kopo au kuwauzia wale wa kuzunguka kitaa lambalamba
Nsemwas naomba uniandikie vipimo mfano kupata ice cream mia unatumia kiasi gani cha ubuyu,ngano sukari maji n.kUnapika uji wa ngano kwenye sufuria ila uwe mwepesi halafu unachukua uji unachanganya kwenye ubuyu uliouloweka na maji ya moto then unakoroga baada ya hapo unafikisha kutoa mbegu then inakuwa tayari
Hapo ratio ya unga sijui inakuaje babe!Koroga uji wa ngano ukianza kuiva iva changanya unga wa ubuyu vichemke kwa pamoja mpaka viive. Ila uwe unapitisha mwiko mara kwa mara ili visiungue. Nilishafanya hii biashara na inalipa vibaya
Mbona umejijibu?Unapika uji wa ngano kwenye sufuria ila uwe mwepesi halafu unachukua uji unachanganya kwenye ubuyu uliouloweka na maji ya moto then unakoroga baada ya hapo unafikisha kutoa mbegu then inakuwa tayari
Tupe mfano wa ivo vimfuko plseKumbe wauza lamba lamba mpo wengi humu,hii biashara inalipa ukipata lokesheni nzuri za kuuzia.
Wengi wenu mnafeli kwenye vifungashio,igeni mfano wa azam hata kama unatumia vifuko tafuteni vipakti vizuri vinavyovutia
Ni vyema kufungia vifuko vya karanga. Mfuko upo kwenye rola haina usumbufu katika kujaza. Unafunga kwa mashine zinauzwa 50,000 zinatumia umeme. Hizi ni za kuchomea tu
kwahiyo tofauti na ubuyu au ukwaju,kuna ice cream gani nyngine mtu anaweza kutengeneza?na je unga wa ngano unahusika kotekote?