Ice cream laini (zile za sh 100 au sh 50 mtaani)

Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
16,665
Points
2,000
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
16,665 2,000
Habari wana jf,

mimi naitwa dennis,jana nimeanza biashara hii ya aisikrimu za vifuko za shilingi mia mtaani.changamoto niliyoipata ni hii;kuna mteja alivyoanza kuila alilalamika kuwa ni ngumu na anapata shida kuitafuna na akanishauri nitafute ujuzi unaotumika na wengine kutengeneza kwani wapo wanaotengeneza laini kabisa na wakati huohuo zinakuwa zimeganda.

Sasa naomba mwenye ujuzi anisaidie hapa,z8natengenezwaje laini,vitu gani vinawekwa na kwa utaratibu gani.aisikrimu ninazotengeneza ni za ubuyu.

Ahsanteni kwa elimu wakuu
Huwa unatengeneza ww mwenyewe mkuu au kuna mtu anakutengenezea!?
 
youngkato

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
2,862
Points
2,000
youngkato

youngkato

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
2,862 2,000
Habari wana jf,

mimi naitwa dennis,jana nimeanza biashara hii ya aisikrimu za vifuko za shilingi mia mtaani.changamoto niliyoipata ni hii;kuna mteja alivyoanza kuila alilalamika kuwa ni ngumu na anapata shida kuitafuna na akanishauri nitafute ujuzi unaotumika na wengine kutengeneza kwani wapo wanaotengeneza laini kabisa na wakati huohuo zinakuwa zimeganda.

Sasa naomba mwenye ujuzi anisaidie hapa,z8natengenezwaje laini,vitu gani vinawekwa na kwa utaratibu gani.aisikrimu ninazotengeneza ni za ubuyu.

Ahsanteni kwa elimu wakuu
Bila shaka we utakuwa mwalimu.

Mwambie ale kwa kulamba kama pipi itayeyuka tu.
 
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
6,025
Points
2,000
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
6,025 2,000
Koroga uji wa ngano ukianza kuiva iva changanya unga wa ubuyu vichemke kwa pamoja mpaka viive. Ila uwe unapitisha mwiko mara kwa mara ili visiungue. Nilishafanya hii biashara na inalipa vibaya
hawata kwenda msala mkuu
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
7,630
Points
2,000
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
7,630 2,000
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
7,630
Points
2,000
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
7,630 2,000
Kumbe wauza lamba lamba mpo wengi humu,hii biashara inalipa ukipata lokesheni nzuri za kuuzia.
Wengi wenu mnafeli kwenye vifungashio,igeni mfano wa azam hata kama unatumia vifuko tafuteni vipakti vizuri vinavyovutia
 
R

rachael sawe

New Member
Joined
Jul 12, 2012
Messages
1
Points
20
R

rachael sawe

New Member
Joined Jul 12, 2012
1 20
Unapika uji wa ngano kwenye sufuria ila uwe mwepesi halafu unachukua uji unachanganya kwenye ubuyu uliouloweka na maji ya moto then unakoroga baada ya hapo unafikisha kutoa mbegu then inakuwa tayari
Nsemwas naomba uniandikie vipimo mfano kupata ice cream mia unatumia kiasi gani cha ubuyu,ngano sukari maji n.k
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,283
Points
2,000
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,283 2,000
Koroga uji wa ngano ukianza kuiva iva changanya unga wa ubuyu vichemke kwa pamoja mpaka viive. Ila uwe unapitisha mwiko mara kwa mara ili visiungue. Nilishafanya hii biashara na inalipa vibaya
Hapo ratio ya unga sijui inakuaje babe!
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,283
Points
2,000
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,283 2,000
Unapika uji wa ngano kwenye sufuria ila uwe mwepesi halafu unachukua uji unachanganya kwenye ubuyu uliouloweka na maji ya moto then unakoroga baada ya hapo unafikisha kutoa mbegu then inakuwa tayari
Mbona umejijibu?
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,283
Points
2,000
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,283 2,000
Kumbe wauza lamba lamba mpo wengi humu,hii biashara inalipa ukipata lokesheni nzuri za kuuzia.
Wengi wenu mnafeli kwenye vifungashio,igeni mfano wa azam hata kama unatumia vifuko tafuteni vipakti vizuri vinavyovutia
Tupe mfano wa ivo vimfuko plse
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
17,091
Points
2,000
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
17,091 2,000
Habari wana jf,

mimi naitwa dennis,jana nimeanza biashara hii ya aisikrimu za vifuko za shilingi mia mtaani.changamoto niliyoipata ni hii;kuna mteja alivyoanza kuila alilalamika kuwa ni ngumu na anapata shida kuitafuna na akanishauri nitafute ujuzi unaotumika na wengine kutengeneza kwani wapo wanaotengeneza laini kabisa na wakati huohuo zinakuwa zimeganda.

Sasa naomba mwenye ujuzi anisaidie hapa,z8natengenezwaje laini,vitu gani vinawekwa na kwa utaratibu gani.aisikrimu ninazotengeneza ni za ubuyu.

Ahsanteni kwa elimu wakuu
Mahitaji
(kwa mahitaji haya utatoa zaidi ya pisi 200 za barafu ukitumia vifuko vya size 1¼ X 10)
Maji lita 7
Maziwa ya unga 1 cup (brand yoyote)
Unga wa wanga (corn starch) 2 cups uchanganye na maji lita 1.5 (unga wa wanga unauzwa supermarket) au sokoni unga wa ubuyu
Sukari kilo 1¾ (waweza punguza)
Chumvi ½tsp (ukipenda)
Utaweka ladha uipendayo (vanilla, mango, chocolate, pineapple, nk) Mifuko 300 ya kufungia ice candy (mifuko ya barafu)
HATUA:
1. Weka maji lita 7 kwenye sufuria kubwa na weka jikon yachemke, ongeza sukari na chumvi(ukipenda), kisha changanya vizuri hadi viyeyukie humo .
2. Ongeza ile corn starch na maziwa ya unga kwenye hayo maji yanayochemka, koroga vzr ili kusitokee mabujabuja, chemsha kwa dk 8, kisha zima jiko, acha ipoe kwa saa kadhaa kisha ongeza ladha uipendayo.
3. Funga kwenye vile vifuko na gandisha hadi ziwe barafu.

Kwa hisani ya Numbisa Jinsi ya kutengeneza barafu za kula, ice crem
 
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Messages
3,925
Points
2,000
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2013
3,925 2,000
Ni vyema kufungia vifuko vya karanga. Mfuko upo kwenye rola haina usumbufu katika kujaza. Unafunga kwa mashine zinauzwa 50,000 zinatumia umeme. Hizi ni za kuchomea tu
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
17,091
Points
2,000
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
17,091 2,000
Ni vyema kufungia vifuko vya karanga. Mfuko upo kwenye rola haina usumbufu katika kujaza. Unafunga kwa mashine zinauzwa 50,000 zinatumia umeme. Hizi ni za kuchomea tu
Those days tulitumiaga Kibatari. challange ya hiyo mashine ni ngumu kupack tight than kufunga na mkono.
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
17,091
Points
2,000
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
17,091 2,000
kwahiyo tofauti na ubuyu au ukwaju,kuna ice cream gani nyngine mtu anaweza kutengeneza?na je unga wa ngano unahusika kotekote?
Corn starch, cornstarch, cornflour or maize starch or maize is the starchderived from the corn (maize) grain. The starch is obtained from the endosperm of the kernel. Corn starch is a popular food ingredient used in thickening sauces or soups, and is used in making corn syrup and other sugars.
 
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Messages
3,925
Points
2,000
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2013
3,925 2,000
Those days tulitumiaga Kibatari. challange ya hiyo mashine ni ngumu kupack tight than kufunga na mkono.
Hiz Mashine zinafunga vzr sana.
Maana ukitumia hv vifuko vya mikono ni lazima uinawe.
Lakn hyo Mashine huwezi hata kugusa mchanganyiko wako. Na pia inabana vizuri sana. Inategemea na ww mwenyewe tuu
 
Forum statistics

Threads 1,334,878
Members 512,144
Posts 32,489,749
Top