DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,907
- 2,092
Uchaguzi wa Kenya na machafuko yale ya wazi wazi akina Ruto na Kenyata kesi ikaota mbawa, ifikie mda viongozi wa chama wawe responsible na mambo wanayo yafanya, kiufupi upinzani bara ulijifia 2015.Kuna wajinga humu wanadanganyana hiyo mahakama haiwezi kuwashughulikia watesi wetu, waacheni waendelee kudanganyana.
Wajue fika watapandishwa kizimbani hata kama ni baada ya miaka kumi, kuwa kwao madarakani sasa hivi kusiwadanganye, hiyo siku yaja, watavuna walichopanda.