ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Haya mataga mje mporomoshe matusi hapa.
Hivi akili yako ina uelewa wa hicho kiingereza kilichoandikwa?

Response ya ICC
"The first step would be to assess whether the communication concern “matters that are manifestly outside the jurisdiction of the court… As soon as we reach a decision on the appropriate next step, we inform the sender and provide reasons for our decision,” it added".

Response ya Abbas

“The international community is sensible and doesn’t just believe any Tom, Dick and Harry’s claims for asylum on grounds of persecution. But that is their prerogative. Most of them still respect the 1951 Refugee Convention, Article 1 which offers clear definition who deserves to be a refugee,” he added
 
Hizi ni hatua na hatua ni mwendo. Zinaweza kusaidia. Ukiona mawingu na ngurumo zinazidi utaziba matobwe kwenye paa utajaza udongo maji yasiingie ndani.

Shati limepata madoa unashtuliwa utataka kulibadilisha.

Hizi hatua zinasidia kujibadilisha haziwezi kuwa bure.

Kelele hudidia kumtoa mtu usingizini.
 
Tundu kashasema pamoja na kusisitiza kwenye kila mkutano wa kampeni wananchi wameishia kugomea mpango wake wa maandamano na sasa anataka maridhiano na rais John Pombe Joseph Magufuli
Ni Marufuku Rais JPM kufanya maridhiano na wanaharakati walioamia kwenye siasa na kisha wakashindwa siasa kwa aibu.
 
Hawajagomea Bali polisi na jeshi waliyazuia kwa nguvu. Wananchi walikuwa ready.

Mimi nimeandika alichosema Tundu kule VoA

"Ni wazi wito wangu wa kupinga matokeo ya uchaguzi haukupokelewa na watanzania. Nilisema kwenye kampeni zote kwamba wajitokeze barabarani na hawakufanya hivyo. Hii ni kwa sababu wananchi bado hawapo tayari kupambania haki zao" - Tundu

Ujue tuu kwamba wananchi wakiwa tayari hakuna anayeweza kuwazuia...

Watanzania wanamkubali rais wao na wana imani na serikali yao
 
Mkuu huu ni moto , dam changa Kama za akina lissu sio za mchezo, combination iliyopo katika mchezo huu sio ya kitoto,unaweza shangaa kwa Kasi ya hajabu shauri hili la ICC likaenda kwa speed ya hatari, maana combination inawatu watata Sana
So tahalifa Kama hizi sio za kubeza,ukizingatia kwa haraka Sasa ICC wamedisclose information very fast, noma sana
watu wa ufipa mnachekesha Sana kwa kujipa matumaini kwa Mambo yasiyowezekana.
 
Mimi nimeandika alichosema Tundu kule VoA

"Ni wazi wito wangu wa kupinga matokeo ya uchaguzi haukupokelewa na watanzania. Nilisema kwenye kampeni zote kwamba wajitokeze barabarani na hawakufanya hivyo. Hii ni kwa sababu wananchi bado hawapo tayari kupambania haki zao" - Tundu

Ujue tuu kwamba wananchi wakiwa tayari hakuna anayeweza kuwazuia.

Watanzania wanamkubali rais wao na wana imani na serikali yao
Sasa kama wanamkubali kwa Nini mliingiza masanduku ya Kura yaliyokwisha pigwa kwa ccm kwenye vituo. Kwa nini mli media zote mlizizuia kulipoti Mambo au kampeni za Lissu Kama JPM anapendwa.
 
Nimefarijika sana, ahadi yangu ipo palepale yule jogoo wangu mkubwa atachinjwa ishara ya kuwapongeza wale wote waliofanikisha hili na kuwapa pole wote waliopoteza wapendwa wao; waliojeruhiwa baada na kabla ya October 28th.

Ifike pahala kila mtanzania afurahie kuzaliwa Tanzania na haki zake zote za kikatiba azipate bila masharti yoyote yale. Hii nchi ni yetu sote bila kujali dini na itikadi zetu.
 
Sasa Kama wanamkubali kwa Nini mliingiza masanduku ya Kura yaliyokwisha pigwa kwa ccm kwenye vituo. Kwa Nini mli media zote mlizizuia kulipoti Mambo au campeni za lisu Kama jpm anapendwa.
Kitendo cha kulalamikia kuibiwa kura kila uchaguzi na kuendelea kushiriki uchaguzi bila kuwa na suluhu ni kuprove failure kwa walalamikaji, sio kwenye uchaguzi tu. Ila hata kwenye uongozi.
 
Nimefarijika sana, ahadi yangu ipo palepale yule jogoo wangu mkubwa atachinjwa ishara ya kuwapongeza wale wote waliofanikisha hili na kuwapa pole wote waliopoteza wapendwa wao; waliojeruhiwa baada na kabla ya October 28th.

Ifike pahala kila mtanzania afurahie kuzaliwa Tanzania na haki zake zote za kikatiba azipate bila masharti yoyote yale. Hii nchi ni yetu sote bila kujali dini na itikadi zetu.
Waliokufa Zanzibar wote walipwe fidia kubwa na waliosababisha kufa wawajibishwe
 
watu wa ufipa mnachekesha Sana kwa kujipa matumaini kwa Mambo yasiyowezekana.
Sawa mkuu ita majina yote ila elewa hata mbuyu ulianza Kama mchicha, na kwa tahalifa sijawahi kuwa mtu wa ufipa au lumumba,but penye neema ya mwenyezi mungu mwaka huu matumaini kuwa member wa Ufipa namanisha nitajiunga na CHADEMA mwaka huu mkuu. Tafadhali naomba sala zako nikatimize lengo ilo na mungu atakubaliki sana.
 
Kitendo cha kulalamikia kuibiwa kura kila uchaguzi na kuendelea kushiriki uchaguzi bila kuwa na suluhu ni kuprove failure kwa walalamikaji, sio kwenye uchaguzi tuu. Ila hata kwenye uongozi
Kwa hiyo muendelee kuiba sisi tukae kimya kwa sababu hamna lolote linalofanyika hata mkiiba!
 
Hawaelewi vitu hivyo huwa confidential kwanza wao wakaenda vyombo vya habari pili barua zimeandikwa na individuals sio taasisi!!!

Mfano Zitto Kabwe kaandika yeye Kama yeye Hakuna kikao chochote Cha chama iwe mkutano mkuu ulioamua yeye kajilalia kaamka kaandika.

Maria Sarungi hakuwa hata mgombea udiwani Wala ubunge kajiiibukia tu.

Ndio maana unaona wamejibu kuwa wanaangalia approriateness ya hicho kilichokuwa submitted Kama kimekidhi vigezo ila kwa haraka nikusaidia havijakidhi vigezo.

Wanaotaka kupeleka mashtaka ICC kwanza Ni member countries wa ICC pili UN waweza peleka tatu maofisa wa ICC wenyewe.

Na waweza shughulikia kesi zile tu haziko mahakama ya nchi husika mfano watu wamekamatwa kwa makosa unayoyasema wameshikwa ICC haiingilii hizo kesi sababu tayari ziko mikononi mwa vyombo vya sheria vya nchi mwanachama.

Kazi ya ICC Ni mwiko kuingilia kolicho mikononi mwa sheria mwa nchi mwanachama mfano Kuna jitu gaidi limedakwa wewe unakimbilia ICC kuwa lile Ni political prisoner hawakusikilizi.wataachia nchi mwanachama wa ICC wamalizane nalo kwanza.
Zanzibar zipo video ushahidi wa kutosha ICC itaichukulia hatua Zanzibar hakuna cha nini wala nini.
 
Hata mimi nna wasi wasi huo ,tukumbuke tu hawa Watu huwa na Mipango mirefu sana ktk kutekeleza Majukumu yao ya namna ya kudill na ma Criminal.

Tujipe Muda.
Amsterdam told Anti to instigate social unrest so that ge could built up on the case and during the campaign to use militant and provocation acts and language so that the government and its machinery could cross the line and arrest him or his supporters or mishandle them , which will add up to the credibility of their claims , including creation of fake votes, and mishandle of their representatives during voting day and during counting of votes.

After all those issues have failed they opted to create another movie of fleeing the country on pretext that they are persecuted 😀😂🤣😃😅.

Mbona Mwenye Saccos yake hajakimbia licha ya Anti kumtia hasara ile mbaya, siku zote Mwenye Saccos yake amekuwa akifanya biashara yake vizuri tu.

Zzk hajakimbia, Mzee wetu wa Pemba Mnazi hajakimbia, Mchungaji, Sugu wote hawa hawajakimbia, wabunge wetu watarajiwa wasichana hajakimbia.
 
Back
Top Bottom