ICC on Kenya: Watuhumiwa na Tuhuma Zao

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,616
7,862
PRO- RAILA ODINGA:

1. William Ruto, Minister of Higher Education
_50438974_ruto141afp.jpg

One of the most influential people in the Rift Valley, where the worst violence took place. Suspended as minister in October after being accused of corruption over land deal. Flew to

The Hague in November to try to clear his name. Member of the Kalenjin community.
Accused of planning even before the election to set up militias to attack supporters of President Kibaki. Alleged to have urged his supporters to uproot the weeds from the fields - referring to communities in the Rift Valley with origins elsewhere in the country.

2. Henry Kosgey, Minister of Industrialisation
_50438975_h_kiprono_kosgey_144_re.jpg

Chairman of Odinga's Orange Democratic Movement. Recently denied charges of corruption over importing second-hand cars. Member of the Kalenjin community.
Faces same charges to those brought against William Ruto of planning to set up militias to attack Kibaki supporters. Worst atrocity was the burning of a church near Eldoret where ethnic Kikuyus were sheltering.

3. Joshua Sang, Reporter and executive of Kass FM
_50438976_j_arap_sang_144_icc_afp.jpg

Hosted morning shows on a Kalenjin-language radio station during the post-election violence in 2007/2008.

Accused of planning attacks, along with Kosgey and Ruto, as well as whipping up ethnic hatred on the airwaves.

PRO- MWAI KIBAKI:

1. Francis Muthaura, Head of Civil Service, Cabinet Secretary
_50438977_f_kirimi_muthaura_144_iccafp.jpg


A right-hand man of President Mwai Kibaki and seen as one of the most powerful unelected figures in the country. A former Kenyan ambassador at the United Nations and the European Union. From the Meru community, which is closely linked to President Kibaki's Kikuyu group.

Accused of developing a plan with Kenyatta and Ali to take revenge for attacks on Kikuyus and keep Kibaki in power. Muthaura allegedly met Mungiki leaders and ordered the police to let Mungiki members through road blocks while using excessive force against supporters of Raila Odinga.

2. Uhuru Kenyatta,Deputy prime minister and finance minister
_50438978_uhuru144.jpg

The son of Kenya's founding president. Lost 2002 elections to Mwai Kibaki but backed him in 2007. His name means freedom in East Africa's Swahili language. Like President Kibaki, a member of Kenya's Kikuyu community - the country's largest.

Faces similar charges to Muthaura and Ali of developing a plan to take revenge for attacks on Kikuyus and keep Kibaki in power. Kenyatta was allegedly the focal point between the government and the Kikuyu Mungiki sect, which was sent to the Rift Valley, setting up road blocks and going house-to-house, killing some 150 suspected Odinga supporters.

3. Hussein Ali,Police chief during violence, now head of Postal Corporation
_50438979_m_hussein_ali_144_eastandard.jpg

Came to the police from Kenya's Air Force. Made his name for cracking down on Nairobi's Mungiki sect. From Kenya's ethnic Somali community, which was not directly linked to the violence.

Faces similar charges to Muthaura and Kenyatta of developing a plan to take revenge for attacks on Kikuyus and keep President Kibaki in power. Allegedly gave "shoot to kill" order to police after instruction from Muthaura. ICC says at least 100 Odinga supporters killed after indiscriminate police shooting.

Source: BBCNEWS
 
Makosa yao hapo watakayokuwa wanatafutwa naona ni CRIMES AGAINST HUMANITY, mojawapo ya makosa manne ambayo ICC huwa inashughulikia...however, naona kuna nafasi ndogo sana ya wao kupatikana na makosa hayo..wanaweza wakapona. hapo hakuna genocide, war crime wala crime of aggression...ni crime against humanity tu inayotokana na incitement to commit that crime au hao ambao wali order excessive force kutumika kwa civilian population...pia na torture etc. tutawaona wote hao wakiwa huru si muda mrefu nakwambia.
 
China watu kama hao wanapotea tuuuuuuuuuuu
Sasa si wavuliwe madaraka kupisha uchunguzi na kesi iende kwa uhuru
 
Wawili kati ya wanasiasa waliotajwa Uhuru Kenyatta na mbunge wa Eldoret Magharibi William Ruto tayari wameelezea nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2012.

Iwapo majaji wa mahakama ya kimataifa wataidhinisha mashtaka dhidi yao, basi huenda mipango yao ikawa imesambaratika.

Japo Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga hawakutajwa, orodha iliyotolewa na bwana Moreno-Ocampo inawagusa kwa karibu viongozi hao wawili.

Bwana Uhuru Kenyatta ambaye pia ni waziri wa fedha ni mwandani wa karibu wa Rais Kibaki ambaye baadhi ya wakazi wa mkoa wa kati anakotoka rais Kibaki, wamekuwa wakimwona kama aliye katika mstari wa mbele wa kuchukua wadhifa wa urais.

Mbali na bwana Uhuru, bwana Moreno Ocampo ameonekana kumkaribia zaidi rais kwa kumtaja katibu wa baraza la mawaziri Francis Muthaura ambaye pia ni mkuu wa utumishi wa umma.

Bwana Muthaura ni mwandani wa tangu jadi wa Rais Kibaki.

Kutokana na wadhifa wake ambao unategemea zaidi amri ya Rais huenda Rais Kibaki akaona kutajwa kwa bwana muthaura kama kunaomgusa karibu mno.

Waziri mkuu Raila Odinga pia ameachwa akikuna kichwa baada ya mwenyekiti wa chama chake, ODM, Henry Kosgey kutajwa kama mmoja aliyepanga ghasia zilizotokea.

Isitoshe bwana Kosgey ndiye mwanasiasa mkuu wa eneo la Rift Valley ambaye ameendelea kumuunga mkono waziri mkuu hata baada ya wenzake wa eneo hilo kujitenga na bwana Odinga na kujiunga na kundi la aliyekuwa waziri wa elimu ya juu William Ruto.

Waziri Mkuu ambaye hapo awali alielezea kuunga mkono mahakama ya kimataifa sasa atakabiliwa na hali ngumu ya kuamua kama ataendelea kushikilia msimamo huo au atamtetea mkuruba wake.

Hivi juzi taarifa za siri za ubalozi wa Marekani zilizotolewa na tovuti ya wikileaks zilimnukuu balozi wa Kenya, Michael Ranneberger akiwataja Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga kama baadhi ya viongozi wanaopinga mabadiliko nchini Kenya na jamiii ya kimataifa sasa itakuwa ikitazama kwa makini jinsi viongozi hawa watakavyojiendesha baada ya waandani wao kutajwa na bwana Moreno OCampo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom