- Thread starter
- #21
Wana JF kama tutaanza kuangalia Rangi nafikiri sasa tumekwisha, Kwani Rangi ya huyu na Shivji zinatofautiana nini?
Prof Shivji anarangi ya kiasia lakini moyo na damu yake ni ya kizalendo zaidi ya wazalendo wengi tu!
Wana JF kama tutaanza kuangalia Rangi nafikiri sasa tumekwisha, Kwani Rangi ya huyu na Shivji zinatofautiana nini?
Ni Mtanzania tena mzalendo ndugu yangu . Ana historia ndefu katika utumishi wa Umma . Kwakweli ni mchapakazi sana. Personally namfahamu sana .
Mchungaji, watakwambi mubulushi huyo kutoka Mbalali! Kwa hisani ya watu wa Ashia!
Mkuu nakushukuru umenisaidia kujibu kuna mtu aliniuliza ana historia gani . Lakini ameanza kazi siku nyingi sana na alihamishiwa Idara ya Utalii kwa umuhimu wake . He is very active man ( Mchapakazi). Sio kama amepachikwa katika hiyo post alipitia nafasi mbalimbali na kabla ya kuwa mkurugenzi kamili alikuwa ni Mkurugenzi Msaidizi (Tafiti,Mafunzo na Takwimu) . Ni Mzaliwa wa Kigoma
Ni Mtanzania tena mzalendo ndugu yangu . Ana historia ndefu katika utumishi wa Umma . Kwakweli ni mchapakazi sana. Personally namfahamu sana .
naomba nianze kwa kupingana tena kwa sauti kubwa na wale wote wanaohoji juu ya uraia wa musa. Binafsi namfahamu kwa kiwango cha kumtetea. Musa ni mzalendo wa kweli, mwenye utanzania wa rohoni na si wa kwenye ngozi. Ni mtu asiyejikweza (extremely social). Nikiwa kama mdau katika wizara husika, kwa miaka kama mitatu mfululizo nahudhuria the meeting of executives wa mnrt. ripoti za utendaji wa musa zimekuwa hazina mawaha wala uswahili. Hata shauri zake kwenye mikutano hiyo mara zote zinakuwa na mtazamo wa kizalendo na kimaendeleo. Binafsi ningefarijika tupate watu wengi wa jinsi ya musa wanakubali kuingia serikalini na kulitumikia taifa kwa uadilifu mkubwa. Mungu amwongoze vema katika nafasi yake mpya.
Najua Jk aliangalia kigezo kimoja tu.... Hayo mengine sio muhimu sana kwa sisi wakwere
Mungu amsaidie yeye na familia yake! siku hizi Tanzania wala hatuna haja ya kufurahia eti fulani kashika wadhifa fulani...so what???? hata ukiwa mwadilifu Tanzania ya leo bado utaingizwa na kumezwa na huu mfumo wa kifisadi na kuanza kuwalamba viatu. Ni pale tu tutakapo jikomboa wananchi wenyewe kwa kutumia nguvu yetu aka peoples power
huwezi kunielewa mimi kondakta wa daladala....
khaaaaaa.kateuliwa na nani??? hivi jamani??? mi sielewi ...nikisema ntaonekana mdini..Ibrahimu Mussa huyu ni dini ile ya rais au?
khaaaaaa.kateuliwa na nani??? hivi jamani??? mi sielewi ...nikisema ntaonekana mdini..Ibrahimu Mussa huyu ni dini ile ya rais au?