Ibrah ndio msanii bora underground mwaka huu, je kwako ni yupi?

Sasa kama Ibraah akiwa best new comer Zuchu nae utamweka wapi? Manake Zuchu na Ibraah wametoka ndani ya mwezi mmoja tofauti siku.
Then si umuweke/mtaje mbona ulikuwa unazunguka sana.
Kila mtu ana sikio Lake kutokana na jinsi msanii huyo alivyomkosha.

Wewe unasema zuchu basi nini shida?
 
Kwangu Zuchu sio msanii chipukizi wala Ibra wote mwezi wa nne mwakani wanatimiza 2yrs.

Category ya msanii chipukizi inatakiwa awe, Lord Music, Mac Voice, Angela nk sababu wote wamefanya vizuri ndani ya mwaka huu.

Halafu ni kwambie kitu hamna msanii yule anaanza vupu na kuanza kung'aa kwenye game, lazima atasota ww huko YouTube inaweza mchukua miaka hata mitano, then mwaka wa sita kama akifanya vizuri ndani ya game, ndani ya mwaka huo huyo msanii ndani game ataitwa chipukizi, so hata huyo Mac Voice ni Chipukizi.
Mimi kuna wasanii kibao na wajua wana channel youtube, wanaimba kama back vocal kwenye show za wasanii wengine, ila siku wakitoka na kufanya vizuri mwaka fulani still ataitwa chipukizi kwenye game.

Kiba kasota wee hit song yake yy ya kwanza ni 2007 Cinderela so kwa mwaka huo alikuwa chipukizi, Mondi kasota 2009 hit song yake ya kwanza kamwambie ndani ya mwaka huo 2009 Mondi alikuwa msanii chipukizi aliye fanya vizuri.
 
Sasa tukuelewe vipi?
Umesema ibrah na zuchu sio underground sababu wana miaka miwili kwenye game.

Halafu hapo hapo umedai kuwa hata Kama mac voice ana miaka mitano bado unamuona underground.. 😀😀

Sasa yupi ni underground, mwenye miaka miwili au mitano kwenye game,?

Hebu mtu atusaidie hapa. 🙌🏾🙌🏾
 
Hivi unajua maana ya neno chipukizi? Huyo Mac Voice miaka mitano ni ya msoto na waliokuwa wakimjua walikuwa wachache.

Hivi kipindi kile Diamond anatoa kamwambia 2009,why Kilimanjaro awards walimweka kwenye Category ya Chipukizi mwaka huo?
 
Huyo mac voice ndio ana nyimbo gani hits? Nitajieni hata 2 tu.
Ibra naweza kusema amehit na nyimbo kadhaa ikiwemo one night na Jipinde pamoja na ile ya singeli
 
Hivi unajua maana ya neno chipukizi? Huyo Mac Voice miaka mitano ni ya msoto na waliokuwa wakimjua walikuwa wachache.

Hivi kipindi kile Diamond anatoa kamwambia 2009,why Kilimanjaro awards walimweka kwenye Category ya Chipukizi mwaka huo?
kuna kitu nimegundua hapa
Hivi kabla zuchu hajatoa wimbo wake pale wasafi nani alikua anamjua sasa mpaka pale alipotambulishwa? Na kwa maelezo yake amekaa wasafi kitambo tu nini mantiki yako?

Miaka mitano kwenye msoto na mwenye miwili kwenye msoto ila mitano ndio chipukizi?

Kama kumjua Mac Voice labda ulikuwa humjui wewe tu,
Niseme ukweli kabla ya ibrah kutambulishwa na harmonize na zuchu kutambulishwa wasafi sikuwahi kuwajua kabla ya hapo.
Ila maka Voice nimeanza kumjua kabla ya kuwa NLM..

Tuishie hapa
 
Sasa kama Ibraah akiwa best new comer Zuchu nae utamweka wapi? Manake Zuchu na Ibraah wametoka ndani ya mwezi mmoja tofauti siku.
Zuchiu Yuko vizuri , hata Angela Yuko poa , ibrah Mimi simkubali, harmonize awekezee sana Kwa Angela itamlipa kuliko Kwa ibra
 
MACVOICE ni namba moja ...coz kaibuka mwezi mmoja na kuwa nominated kwenye tuzo as best upcoming artist......wakat ibra now ana miaka miwili hajawahi hata kuwa nominated in HBABA AWARDS
Nominated kwa mchongo et best newvomer afu category moja na onah Kay,Mario and etc,walihonga jina lake liwe nominated
 
Nawakumbusha tu Konde Gengi, Ibraah alipewa tuzo ya chipukizi wa mwaka 2020, na 2021 bado hajamaliza uchipukizi ? yaani yeye kila mwaka ni newcomer 🤣🤸🐒
IMG_20211226_052945.jpg
 
Back
Top Bottom