Ibrah ndio msanii bora underground mwaka huu, je kwako ni yupi?

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,176
22,577
habari ndugu.
Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana,

Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain mpka sasa ,akwemo msanii kutoka konde gang ibrah huyu ndio best newcomer kwenye bongo fleva mwaka huu.
Ana nyimbo nyingi hits kuliko wengine

Je yupi msanii wako bora chipukizi?
 
MACVOICE ni namba moja ...coz kaibuka mwezi mmoja na kuwa nominated kwenye tuzo as best upcoming artist......wakat ibra now ana miaka miwili hajawahi hata kuwa nominated in HBABA AWARDS
 
Mc voice ni msanii mpya? Kweli nimeamini mashabiki wa dabliyusibii si wafuatiliaji wa mziki

Huyo Gwamaka alikuwa kwa Chege tangu 2018 huko, ndiye aliyefanya cover ya kiswahili ya ule wimbo wa Teamo
Hata mimi nimeshangaa eti ni chipukizi 😀😀
 
MACVOICE ni namba moja ...coz kaibuka mwezi mmoja na kuwa nominated kwenye tuzo as best upcoming artist......wakat ibra now ana miaka miwili hajawahi hata kuwa nominated in HBABA AWARDS
Mac voice ni kijeba sio chipukizi bwana kupe..
 
MACVOICE ni namba moja ...coz kaibuka mwezi mmoja na kuwa nominated kwenye tuzo as best upcoming artist......wakat ibra now ana miaka miwili hajawahi hata kuwa nominated in HBABA AWARDS
Tuwaambie mara ngapi? Gwamaka Maka voice Mc voice kwenye game ana miaka mitano na zaidi! Dablyusibii jitahidini kufuatilia mziki hata kidogo basi
 
Hao kwao wasanii ni wale ambao wapo WCB, nje ya hapo watawajulia wapi wasanii kama hawa!
Maka alifanyaga ile cover ya kiswahili ya teamo, pia nakumbuka chege kaimba nae nyimbo nyingi tu, ndio rayvanny akamchukua sasa mpaka leo atakuwaje chipukizi?
Kina lody music nao tutawaitaje?

Hao kupe usipate tabu kuwafatilia.
 
habari ndugu.
Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana,

Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain mpka sasa ,akwemo msanii kutoka konde gang ibrah huyu ndio best newcomer kwenye bongo fleva mwaka huu.
Ana nyimbo nyingi hits kuliko wengine

Je yupi msanii wako bora chipukizi?
Ibrah ni new comer????? How....... wakati mwakani mwezi wa nne mwakani anatimiza miaka miwili kwenye game.

Msanii bora mpya kwa mwaka huu ni Lord Music.
 
Ni sawa pia vizuri lakini kwa Mimi ninaona ni ibrah mpaka atimize miaka miwili ndio tutahesabu tayari sio underground..
Lody Music amekaza
 
Sasa kama Ibraah akiwa best new comer Zuchu nae utamweka wapi? Manake Zuchu na Ibraah wametoka ndani ya mwezi mmoja tofauti siku.
 
Back
Top Bottom