Bratherkaka
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 101
- 10
Hello!
Natumia IBM thinkpad tangu nimepadilisha os inanisumbua sana kwenye drives zake hasa za usb port. Ndugu kama kuna mtu yeyote unjua njia rahisi ya kupata plz plz. Thank nawakilisha.