Ibara ya 30 (d): MwanaHalisi kufungiwa kwa kuvunja katiba ya Tanzania?

KWELI mmemuumbua! safi sana! Bravo Mwana wa Uhalisia!!! Nimekusoma sana, sijasoma na sina mpango wa kusoma mambo ya JOURNALISM but Mwanahalisi ilikua imetulia, tena naona next week ni mbali nataka nakala nyingine fasta!
 
nafikiri wazir wa sheria atafiata taratibu za kulifungia gazeti hili
Waziri wa sheria na kufunga gazeti wapi na wapi? Tunatakiwa kuperuzi zaidi Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976. Hasa tuangalie haki inayotolewa katika kuripoti habari za mahakama.
 
... you need to convince us why the article is sub-judice. Tafadhali tueleweshe uhuru wa mahakama unaingiliwaje hapa, and I quote kama ulivyoandika, "haijaingilia uhuru wa mahakama"
Bravo 007...Nafikiri Jeykey ndo ajiulize 5Ws+H kabla ya kuning'iniza issue!
 
Back
Top Bottom