nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,515
- 20,005
kwanza lifungiwe daily news ambalo salva alipost ule upupu wake eti slaa hatokuwa rais kwa sababu ule ni ukiukaji wa uandishi first degree,..jk anamuogopa kubenea kuliko anavyomuogopa slaa,..siku likifungiwa zitto atafurahi au atachukia?otea..