Ibara ya 18:Tuitumie vyema katika ujenzi wa uhuru wa habari

N'gwanantugwa

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
347
343
Mwana hip hop nguli Plate a.k.a Mdaijasho aliwahi kuhimiza jamii itumie ibara ya kumi na nane vyema ili iweze kufikia maendeleo kupitia wimbo wake uitwao Ibara ya 18
Aliweza kuhoji juu ya usalama wa taifa kufuatilia vitu vidogo visivyo na madhara kwenye taifa huku vikubwa vinavyohatarisha ustawi wa maendeleo ya taifa vikiachwa kimya.

wimbo huo uko hapa

youtube:ibara ya 18-plate

www.mdundo.com/a/2788
 
Back
Top Bottom