Ibara ya 144(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya 1977 iliyofanyiwa marejeo 2005 "CAG aweza kuondolewa katika madaraka ya kazi..."

Kwa nini unaulizia umri wake? Unataka akuongeze kama mke wake?
Ulizia pia ana wake wangapi.
Huyo Assad ana wake wanne tayari nadhani mzigo umemwelemea anakumbuka magari ya ofisi na ya nyumbani kuhudumia wake zake kwenda saluni nk ndio maana analialia Keshafikisha wake wanne kwa mujibu wa dini ya kiislamu hawezi ongeza Tena labda ampe talaka mmoja atoe nafasi kwa mpya kuingia.Lakini ana wake wanne wa ndoa kabisa.Kulea na kutunza wake wanne na watoto wao na ndugu za wake hapo mtu lazima alilie nafasi aliyokuwa nayo ya U CAG
 
Daaaa hii nchi Ina watu wajinga na wapumbavu Aisee ama kweli unyumbu na ukasuku wa MATAGA na SUKUMA gang humu jamvini unadhihilisha jinsi Gani toilet paper za Mwendazake zimechambiwa kimba pale Lumumba,
Yaani Hawa watu ni mambumbumbu Sana yaani Hadi aibu,Hivi Kwa style hii hii nchi itaendelea kweli Kama Hawa kina Meneja wa Makampuni,YEHODAYA,Mama D na mbulula nyingine ndio wanachama wa Chama kilichoshika Dola!

Ninesikitika Sana Aisee Eti Leo ndio wanayajua Sana majukumu ya CAG kuliko Assad Musa mwenyewe halafu walivyo wehu wanamwita kilaza!

Haahahahahaha
Daaaaaaaaaaaa
😁😁😁😁😁
Tunachoandika humu hata mama Samia kitamsaidia mbele ya Safari

Huyu Assad ni zigo alilorithi Magufuli kutoka kwa Kikwete

Hakuwa na uwezo wa kuwa CAG

Kikwete akalaghaiwa kuwa Assad ni Professor wakati hajawahi kuwa Profesa akaambiwa Assad anaitwa Musa kumbe jina lake anaitwa Jaffari mavyeti yake ya ya kufoji kutoka Jafari Hadi Musa na kutoka mtu asiye Professor na kuitwa Proffesor wakati hajawahi kuwa Proffesor usanii mtupu
 
Toa ujinga wako hapa wewe jamaa unajiaibisha tu humu jamvini,Hivi Huwa mnafikiria kutumia makalio au ndio ukasuku unawatesa?
 
Back
Top Bottom